Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
hivi huyu Mungu anayetajwa na viongozi wa ukawa ni Mungu gani?
General huyo mkuu anatisha sana
hivi huyu Mungu anayetajwa na viongozi wa ukawa ni Mungu gani?
Pichas wakuu please!
General Denda
Mbowe anaongea Kijasiri sana..
atakuwa aliandaliwa vema na Joyce Mukya
Mbowe anatokwa povu hapa
Watu wanahesabika hapa jangwani...kichaa lissu atavua nguo si mda
Kutoka kuendesha gari akiwa njwii , tena bila leseni na kuua warembo wawili hadi kuwa shujaa wa katiba !Katiba ya Chenge na Sitta ni janga la Kitaifa..