Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
siyo wewe au umeshaacha kumpa tigo...

kumbe Mbowe amezoea kula tigooooo! Ahsante Mkuu Crashwise. Kumbe yale maneno kuwa Mbowe alikuwa anawala tigo viongozi wengine wa ukawa kule Area D Dodoma ni ya kweli! Ahsante sana Crashwise. Dedication kwa Jusa na John Mnyika
 
Mbowe amewaagiza makamanda wapige mzigo nchi nzima kuwahamasisha wananchi kuhusu kuwaunga mkono
 
kumbe Mbowe amezoea kula tigooooo! Ahsante Mkuu Crashwise. Kumbe yale maneno kuwa Mbowe alikuwa anawala tigo viongozi wengine wa ukawa kule Area D Dodoma ni ya kweli! Ahsante sana Crashwise. Dedication kwa Jusa na John Mnyika

Uliwahi kumpa?
 
Kila siku magamba wanaamka wanatekenyana wanacheka nia yao ukawa isambaratike!
 
hivi huyu Mungu anayetajwa na viongozi wa ukawa ni Mungu gani?

Chadema ni chama cha walokole ndugu zangu wa cuf hawajawashtukia wanasafiria nyota yao baada ya kukataliwa mikoa ya magharibi kwa kumfukuza Zitto. CUf watashangaa hapo muda si mrefu watakapoachwa solemba.
 
...

.....Tarehe moja novemba wabunge, madiwani na wenyeviti wa ccm anzeni kufunga virago !!!
 
attachment.php


Kafa au bado anapumulia mashine.
 
Taarifa za kibanda maiti Mh Rais anahutubia. CCM wanatumia nguvu nyingi kujibu hoja za UKAWA. wkati ukawa wanaua mbu kwa dawa wao wanatumia Makofi na makonde kumuua mbu
 
Mbowe ameanza kuwa na wivu. Anasema kuwa Maalim Seif aliposema sawa sawa mlifurahi ila mimi nikisema sawasawa mnanuna
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom