Mungu wa UKAWA ana makengeza anaitwa Mtei
Kama baba yako alivyo?
Mungu wa UKAWA ana makengeza anaitwa Mtei
Mbowe amewaagiza makamanda wapige mzigo nchi nzima kuwahamasisha wananchi kuhusu kuwaunga mkono
...
.....Tarehe moja novemba wabunge, madiwani na wenyeviti wa ccm anzeni kufunga virago !!!
Mbowe ameanza kuwa na wivu. Anasema kuwa Maalim Seif aliposema sawa sawa mlifurahi ila mimi nikisema sawasawa mnanuna
eti ukawa ni mpango wa Mungu. Hahahahahaaaaaaa!
Mpango wa Mungu umetuletea UKAWA..
Umesema virago au unamaanisha viroba?
Dah! Mbowe analazimisha eti Peoples Powe iwe ndo salamu ya Ukawa. Hakika hii ni hatari. Wameanza kufarakana
Freeman Mbowe: Makubaliano haya ni mpango wa Mungu na yoyote atakayepinga mpango huo wa Mungu mabaya yatamkuta.