Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Duh! Lipumba anawadanganya vijana. Anasema eti wafanye mazoezi ya viungo kudai haki. Anachekesha sana huyu
 
Prof. Anasema tuwe na mtandao nchi nzima ili kuleta mabadiriko nchi nzima. Amesema vijana wanzeeka vibaya kwa sababu ya ccm. Kawaomba vijana wafanye mazoezi kukabiliana na lolote ndani ya nchi yetu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1414334946.128643.jpg
 
Khaa!! Tatatibu cdm wameanza kujitwalia ukawa. Dr Mbowe kaanza kudai salamu ya chadema itumike ukawa. Angalau mh Mbatia amekuws smart kuvuruga protokali ya mwalim kwa kulazimisha Dr Mbowe azungumze kabla ya prof

Mtajibeba na uchawi wenu, harogwi mtu hapa!
 
Kati ya watanzania millioni 45,Hahahahahaaaaa.....

Ulitaka watanzania wote 45milioni wawe Jangwani??? Una akili sawasawa? Hata rais alichaguliwa na watu wasiofika milioni 10
 
Mtu akikuzuuia kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura mshughulikie..
 
Usimshangae Mbowe kwa salam, ishangae ccm na mafisadi wake. Ila mwanao au wa ndg yo watakuwa hawaendi shule kwa sababu ya majangili ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom