Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Jumla waliopiga kura ilikuwa milioni 6. Na kikwete alipata kura milioni 4. Unajua ndani ya CCM wenye akili zinazofanya kazi hawazidi 10%, na hao 10% wanazitumia akili zao zaidi katika wizi na ufisadi. Waliobakia wote ni 'sukuma liende'.
Ulitaka watanzania wote 45milioni wawe Jangwani??? Una akili sawasawa? Hata rais alichaguliwa na watu wasiofika milioni 10
