Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
.....ha ha ha gumegume la wama povu povu !!!
Jamani mkipata hata ushindi wa robo kura nakuahidi nitakuoa maana sina mke.
.....ha ha ha gumegume la wama povu povu !!!
Hauwezi kuamini maaana CCM walikuaminisha kwa miaka 50 sasa na hakuna mabadiliko,umakini/ukweli na uzalendo wa kweli haupo CCM ndio maana mabadiliko imekuwa ni ndoto kwako.UKAWA ndio mpango mzima katika kuisimamia Serikali katika majukumu yake,minini na madiliko utayaona soon na usikate tamaaa.
Jamani mkipata hata ushindi wa robo kura nakuahidi nitakuoa maana sina mke.
Kigoma kuwa Dubai .....kwi kwi kwi kwi !!!
![]()
....hatare hatare wanenguwaji wanamaneno makali !!!
Muulize Crashwise anayejua michezo hiyo
Safi sana makubaliano ya leo. Jimbo lisikose tena mgombeaji.Hakuna kupita bila kupingwa
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.
Updates;
Msafara ndo unaondoka makao makuu ya CUF, unaongozwa na king'ora as we have Makamu wa kwanza wa Rais...
tayari usafara uko uwanjani wa jangwani..
![]()
![]()
Leo nimemkubali Salum Mwalimu alivyonauwezo mkubwa jukwaani nimemkubali sana hakika Chadema mlipatia sana!!
Lipumba amesema asilimia 60 ya waliohudhuria mkutano wao hawajala. Sasa wamewezaje kunywa viroba kabla hawajala?
Lipumba amesema asilimia 60 ya waliohudhuria mkutano wao hawajala. Sasa wamewezaje kunywa viroba kabla hawajala?
Tuonane kwenye kura za Maone ndio utajua ni Mungu yupi wewe intarahamwe
Na asiye fanya kazi asile
Ujumbe unakuhusu maana tayari unaonekana umeathirika na ahadi za CCM.