Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Dr.makaidi leo kafunika ile mbaya! Magamba wanaharisha yalikuwa yanaomba umeme okatike chezea nguvu ya umma weye. Nimemkubali sana Mbowe Kamanda wa anga kwa hamasa yake uwanja mzima umekunja ngumi mpaka raha!
 
Historia fupi ya wanandoa UKAWA

1.Walikutana bungeni Dodoma
2.Uchumba wao ulijaa vitimbi,michepuko,kukosekana uaminifu na vijembe kama USHOGA,ULIBERALI na USAGAJI
3.Tar 26/10/2014 wameanza NKATABA wa safari ndefu ya ndoa isiyokuwa na tija wala mafanikio hapa JANGWANI

Sisi kama mashahidi tunawatakia MIGOGORO isiyosuluhishika,CHUKI isiyokuwa na kikomo na hatimae KIFO cha milele.

Ameeen...

Ukawa ni mpango wa Mungu! Hiyo migogoro umeisema wewe itaanzia kwenye nyumba yako baadae kwenye chama chako na mwisho kurushiana risasi kama jana Morogoro. Ukawa wamewagalagaza ccm leo dunia imeshuhudia.
 
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.

Updates;
Msafara ndo unaondoka makao makuu ya CUF, unaongozwa na king'ora as we have Makamu wa kwanza wa Rais...
tayari usafara uko uwanjani wa jangwani..
attachment.php


attachment.php
Safi sana, cha musingi tujipange kulinda kura dhidi ya huyo mkoloni, kweli upinzani ukiamua lolote linawezekana, viva viva UKAWA,,VIVA UKAWA
 
Historia fupi ya wanandoa UKAWA

1.Walikutana bungeni Dodoma
2.Uchumba wao ulijaa vitimbi,michepuko,kukosekana uaminifu na vijembe kama USHOGA,ULIBERALI na USAGAJI
3.Tar 26/10/2014 wameanza NKATABA wa safari ndefu ya ndoa isiyokuwa na tija wala mafanikio hapa JANGWANI

Sisi kama mashahidi tunawatakia MIGOGORO isiyosuluhishika,CHUKI isiyokuwa na kikomo na hatimae KIFO cha milele.

Ameeen...

Mimi naamini wakiendelea na umoja wao CCM itaondoka Madarakani 2015.Wasiwasi wangu nchi inaweza kutikisika kwa shangwe kutoka kwa wananchi na Mafisadi itabidi waombe ukimbizi nchi za nje.CCM nayo itakufa kwa sababu kila idara ya serikali itaiacha,vitega uchumi kama viwanja vitarudi serikalini na wenye mapenzi mema na nchi waliobaki CCM watakiacha chama.
 
Hicha xi za leo ni ya mwaka 2010 wakati kampeni ya sssssssm ukawa hamna kitu kabisa
 
kumbe Mbowe amezoea kula tigooooo! Ahsante Mkuu Crashwise. Kumbe yale maneno kuwa Mbowe alikuwa anawala tigo viongozi wengine wa ukawa kule Area D Dodoma ni ya kweli! Unapokosa hoja ukaaza matusi haikusaidii.
 
Uchambuzi hafifu sana huu. Katika chama, siku zote huzungumziwa taasisi na siyo mtu. Sidhani kama kuna mtu yupo kwenye chama chochote kile kwa sababu mtu fulani ni kiongozi au ni mwanachama wa chama hicho. Kama yupo mtu wa namna hiyo, basi huyo ni mwendawazimu. Kuanza kumhusisha hapo Zito ni upungufu wa uchambuzi na pengine upungufu wa upeo na uelewa pia.

Ninavyoviona hivi vyama vya siasa kwa sasa, hasa CHADEMA, CUF na ccm, kuondoka au kuondolewa kwa kiongozi mmoja hakuwezi kuwa na athari yoyote ya kuonekana kwa chama. Kuondoka kwa Hamad Rashid hakujaiathiri chochote CUF, kuondoka kwa Zitto hakujaiathiri chochote CHADEMA (na huenda kumeiimarisha zaidi CHADEMA maana viongozi wote kwa sasa wanaongea kwa lugha moja - jambo ambalo ni muhimu sana kwa uongozi wa chama).

Kinachoweza kuathiri chama ni kuparanganyika kwa uongozi lakini siyo kuondolewa kwa kiongozi mmoja. Bahati mbaya sana fikra kama za kwenu ndizo zilizomharibu Zitto kwa kudhania kuwa alikuwa ndiyo msingi wa chama. Jambo ambalo halikuwa kweli. Uongozi katika chama ni muhimu sana lakini kiongozi mmoja mmoja hawezi kuwa ni nguvu ya chama chochote kile.

Tena Zitto ajihadhari sana maana huenda 2015 akaukosa hata ubunge maana 2010 alishinda kwa taabu sana ukimlinganisha na wabunge wenzake ndani ya CHADEMA. Kama alishindwa kuupata umuhimu kwa wapiga kura wake 2010, anawezaje kuwa muhimu kuliko timu yote ya uongozi ndani ya CHADEMA? Very poor analysis.

Haijalishi holi jambo litakuzwa kiasi gani!!!!!
lakini kila mmoja wetu anakiri toka moyoni kuwa MUITIKIO WA WANANCHI NI TOFAUTI NA MATARAJIO.
Mahudhurio ya watu hajakaribia hata kidogo MKUTANO WA CHADEMA MWAKA JANA. Hii ni bad indication hasa ukizingatia ilikuwa ni muunganiko wa WAPINZANI WOTE WENYE NGUVU. napata wasiwasi kuwa
1. labda chadema kimepoteza mvuto baada ya migogoro
2. ZZK alikuwa na wafuasi wengi kuliko ilivyotarajiwa
3.CUF inasafiria nyota ya chadema hususan huku bara
4.Ukawa ni mwanzo mzuri ambao unaweza kuzaa matunda baada ya miaka kumi kuanzia mwakani(kama muungano huu utakuwepo baada ya uchaguzi 2015 maana kushindwa ni dhahiri
 
Kurugenzi ya habari picha yako ya saa 10 na dk 28 hebu tupia na picha ya kibandamaiti ya muda huohuo tuangalie wapi wanaokubalika na wapi wanaosema kweli....ninyi nyote mmekuwa waongo na matokeo yake mmeanza kugawana madaraka...lakini tutawapiga chini tu subirini sanduku la kura 2015, na katiba pendekezwa itapita kwa kishindo hapo april 2015
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.

Updates;
Msafara ndo unaondoka makao makuu ya CUF, unaongozwa na king'ora as we have Makamu wa kwanza wa Rais...
tayari usafara uko uwanjani wa jangwani..
attachment.php


attachment.php
 
Duh! nipo kibaruani ila kwa ushahidi huu! Hakika sisiemu lazima wamejifungia vyooni kwa aibu.
Ee Mungu wewe uliyesikiliza kilio cha wana wa Isirael basi tusikie na sisi siku ya leo.
Amina.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom