Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Kubishana na type ya watu kama nyie ni kupoteza muda. Ccm nyanga'nyanga'! Mdebwedo mnakufa vibaya kifo cha mende. Tulieni wanaume wasonge mbele.

Mnaleta picha za maktaba ebu tupia picha ya babu leo jangwani uone alivyohuzunika kwa uzee.
 
Lipumba ongea PUMBA zote lakini hili la kuwahimiza vijana wafanye fujo sio sawa kabisa.
 
Uzee hata wewe hutaukwepa uko pale pale mpaka kifo hata kama ni cha ebola potelea mbali.
 
Nimemuuliza mtu mmoja aliyeko Dar kuhusu mkutano. Akaniambia ameufurahia. Namnukuu... "Nimepata huduma nzuri kutoka kwa Wadada wawili wa Chadema na wamama wawili wa CUF" Sikumuelewa. Akakata simu
 
Lipumba ongea PUMBA zote lakini hili la kuwahimiza vijana wafanye fujo sio sawa kabisa.

... Katuhimiza Tufanye Mazoez Ya Viungo Kudai Haki Yetu. Nimeipenda Sana Hiyo. Na Kwa Taarifa Yako Jkt Wametusaidia Sana
 
Mnaleta picha za maktaba ebu tupia picha ya babu leo jangwani uone alivyohuzunika kwa uzee.

Uzee haukwepeki utaukuta tu." Do you know how will be 2moro" utazeeka tu mpaka kifo hata kama ni cha ebola potelea mbali!
 

Attachments

  • 1414342596868.jpg
    1414342596868.jpg
    29.5 KB · Views: 278
Yaani CCM ikiwagaragaza hawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa then uchaguzi mkuu basi ndio utakuwa mwisho wa upinzani Tanzania!

Na kwa mipango iliyopo sasa cha moto watakiona serikali za mitaa kwani hawataamini macho Yao! Kama hapa Iramba hatutaki kuona hata mjumbe mmoja anatoka nje ya CCM

Mi nashambulia Shelui, Mgongo, ntwike na Mgongo na tarafa ya Kisiriri yupo mkuu chemakalla, Ndago yupo Msengi na Kinampanda yupo comrade Lyanga akisaidiana na wankembeta na Winjuka!

Kila alipo Mwana CCM popote pale ahakikishe hawa UKAWA tunawaadabisha barabara! Acha wapige meneno sie twendeni vijijini
 
Mzee Slaa anajuta kuondoka kanisani, ungekuta sasa jamii bado inamuheshimu.

Wewe bwabwaja tu. Sasa ana heshima zaidi kwa sababu wengi tunamjua na tuna appreciate kazi yake. Hawo unaofikiri wana heshima zaidi ndioafadhali wangeishia kwenye ukatibu kata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom