Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Yaani CCM ikiwagaragaza hawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa then uchaguzi mkuu basi ndio utakuwa mwisho wa upinzani Tanzania!

Na kwa mipango iliyopo sasa cha moto watakiona serikali za mitaa kwani hawataamini macho Yao! Kama hapa Iramba hatutaki kuona hata mjumbe mmoja anatoka nje ya CCM

Mi nashambulia Shelui, Mgongo, ntwike na Mgongo na tarafa ya Kisiriri yupo mkuu chemakalla, Ndago yupo Msengi na Kinampanda yupo comrade Lyanga akisaidiana na wankembeta na Winjuka!

Kila alipo Mwana CCM popote pale ahakikishe hawa UKAWA tunawaadabisha barabara! Acha wapige meneno sie twendeni vijijini

escrow itawatafuna mwaka huu
 
Tunapambana na yeyote awe UKAWA kwa nguvu zote na dawa Yao sie vijana wengi twendeni vijijini tukafanye kazi kubwa na tushinde kwa zaidi ya 98% serikali za mitaa
 
Siyo mwisho wa upinzani. Sema mwisho wako. Miaka mingine mitano chini ya nyinyiem si heri ya kifo.
 
Huo utakuwa mwisho wa ndoa yenu mliyoifunga Leo washenga NLD!

UKAWA subirini majibu tarehe 14 December ndio mtajua mbivu na mbichi
 
Utamjua nani kichaa Kati ya UKAWA na CCM tusubiri tarehe 14 uchaguzi wa serikali za mitaa!

UKAWA lazima mtage

Mnapoiba kura au? Nasikia majuzi mmewapa watu uraia kwa condition. Ha ha ha. Mtaumwa mwaka huu. Ukawa hoyeeeeee.
 
Tunapambana na yeyote awe UKAWA kwa nguvu zote na dawa Yao sie vijana wengi twendeni vijijini tukafanye kazi kubwa na tushinde kwa zaidi ya 98% serikali za mitaa

naona ushapata ajira hapo hahahahaha!buku saba fc bwana
 
Hongera sana UKAWA hii nyomi si mchezo.

Laiti tungepata mbadala wa hawa wanasiasa walioishindwa ccm kwa miaka 20, ushindi ulikuwa dhahiri, vinginevyo huu nao ni upepo utapita tu!
 
Kwahiyo Chadema mmekubali kabisa kuolewa na CUF?

Kama nyie mlovyowaoa CUF wa Zenj. Pamoja na kuwaoa bado kura alipata mwal Seif Sharif Hamad na mkatuma mtu wa amani akamsihi na mkamwomba akubali kuwa makamu wa kwanza. Aibu yenu.
 
Kweli sasa dalidali za Watanzania kutoka Misri zinaonekana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom