Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Dah! Huyu Makaidi anasema uongo. Anasema kuwa tarehe nane mwezi wa nane kwama sitini na nne alitabiri kuwa ccm itakufa kifo cha mende! Wadau tuelimishane hapa. Kwani ccm imezaliwa mwaka gani?
Hata mimi nimemsikia ila naamini alikuwa ana maana ya TANU kufa kifo cha mende au alikosea kwenye mwaka. La msingi ni kuwa mzee ana imani kuwa kifo cha CCM kimekaribia sana leo kuliko ilivokuwa jana.

Mungu ibariki Afrika, Tanganyika na Zanzibar.

Udumu muungano wa serikali 3
 
Dk. Emmanuel Makaidi: CCM imeanza kuweweseka kwa kuwahofia UKAWA, wakati wao umekwisha na watakufa kifo cha Membe. aliyasema hayo mwaka 1964 na sasa yanatokea.

Dk. Emmanuel Makaidi: Tukiwaondoa CCM, tutakuwa tumepata Serikali mpya na Tanganyika mpya, kitendo cha CCM kuikataa Tanganyika watakaiiwa kupimwa akili zao.

Dk. Emmanuel Makaidi: Wakati wa ukombozi ni sasa, ukifika wakati wa kura za maoni wote waseme Hapana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom