Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba ya Sitta na Cgenge mahala pake ni kutiwa kwenye debe la taka, kwani haikubaliki kabisa.
Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba iliyopendekezwa haikubaliki wala haivumiliki, Wazanzibar na watanganyika walishaukaa mfumo wa serikali mbili imekuaje Sitta na Chenge waurudishe.
Maalim Seif Sharrif Hamad: Katiba iliyopendekezwa Wazanzibar walio wengi hatuutaki, unanuka.
Maalim Seif Sharrif Hamad: Rasimu imepitishwa kimakosa kwani haikupigiwa kura kwa Rasimu kwa ujumla wake.
Maalim Seif Sharrif Hamad: Zanzibar tumechakachuliwa sana katika kura za maoni.
Maalim Seif Sharrif Hamad: Theluthi mbili ya Zanzibar haikupatikana, wabunge na wawakilishi walikuwa 217, 219 wamepatikana vipi? theluthi mbili ni 146, waliosema Hapana ni 76 hivyo waliopiga ndiyo ni 143. Theruthi mbili imepatikana wapi?
Maalim Seif Sharrif Hamad: Tunamsubiri Kikwete na Shain watuletee kura ya maonim tupige kura ya Hapana.