"HERI KIPIGO CHA MKOLONI KULIKO CHA CCM" nimelipenda hili bango.
mwalimu anasema, ccm wanahubiri haki, haki , lakini ukizikosa ukienda mahakamani , huwezi kuzidai hazitambuliki....
Dr slaaaa
ngapiiiiiiii... 3, 3, 3,3, 3, 3, 3, 3.............................................................
Katiba inayopendekezwa.......................................
Anasoma makubaliano ya vyama 4. (cuf, chadema, nccr mageuzi, nrd), ni makubaliano ya watanzania tena ni hitaji la muda mrefuuuu
anasoma makubalioano hayo
Huku manyara itv inakelele hatusikii vinzuri
mbona Dr.Slaaa anazeeka sana...he is aging so fast...
Ukawa hawajui kuimba wimbo wa taifa..aibuuu
Slaa anashindwa kusoma kitu kilichoandikwa eti ndio mgombea urais wa ukawa
Wadau mtujuze makao makuu ya hawa wahuni ni wapi?