Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Hakika leo ni siku ya kihistoria siku ambayo itakumbukwa na vizazi vijavyo ni siku ya kusaini kifo cha mkoloni mweusi(CCM), Kwa watakao fatilia kupitia mtandao huu nitaanza kuwarushia kinachoendelea kutoka uwanja wa Jangwani ni siku ya kusaini MoU kati ya vyama vinne vya kisiasa yaani CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD.. Radio 1, ITV, Sibuka zitakuwa hewani kuanzia saa kumi mpaka kumi na mbili jioni
watu kwasasa wanazidi kufulika.

Updates;
Msafara ndo unaondoka makao makuu ya CUF, unaongozwa na king'ora as we have Makamu wa kwanza wa Rais...
tayari usafara uko uwanjani wa jangwani..
attachment.php


attachment.php
Umati huu umefikaje hapo? Au wameletwa na malori?
 
Mkutano huu ni maalum kwa ajili ya kutiliana saini makubaliano ya ukawa kugawana madaraka
 
Dawa ya jussa ni yule mama aliyemuumbua bungeni kuwa ni chakla ya maalim seif


UKAWA ndio mpango mzima hapa jangwani ,upo nje ya mada tujadili kinachozungumziwa tafadhali usiwe mnafiki hasa katika kipindi hichi cha technology nyeupe ni nyeuoe na nyeusi itabaki kuwa nyeusi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom