Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Mkuu , Kurugenzi ya habari asante sana , sasa mbona uwanja umefurika kabla sijafika aisee !
 
Msafara wa mamba na kenge wamo! Kama hawakuwemo mwanzoni baadae watachomwekwa lakini nusa nusa ya ukawa iko imara zaidi ya nusanusa ya Magamba! Mungu ni mwema hii ni historia ya karne leo dunia inasimama.
 
IMG-20141026-WA0033.jpg
IMG-20141026-WA0034.jpgmaandalizi ya mwisho mwisho yamekamilika tayari kwa kuwasubiri wasemaji...
 
Wenye mabasi wanajitolea bure. Hata wewe unaweza kujitolea ukitaka

Nimeuliza hapa konda kasema ni shilingi 100000 kuwapeleka tu huko jangwani wakitaka na kurudi tsh 250000
 
Safi sana wengine tupo safarini na simu muwe mnatujuza kila hatua inayoendelea. Na ingependeza zaidi kama mzee samwel 6 angepewa mwaliko.
 
vip intelijensia ya geshi la polisisiem inasemaje mpaka sasa?
 
Mmejipanga vipi kuhusu Usalama kamanda? kwani siku hizi polisi wanavaa sare za chadema na kurekodi wanayoyasikia.
 
Changia hata buku 5 basi...

Poa ngoja nichangie angalau buku 10 maana naona wakina mama wamechoka hata kabla ya kuanza safari ngoja niwapatie hiyo angalau wapate hata kununua maji ya kandoro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom