QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 699
Vipi nahizi coster zinazo somba watu Huku Kongowe pwani mmekodisha shilling ngapi
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
Si nimeuliza tu kijana maana mpaka saizi kuna coster Saba zinapakia watu hapa
Wenye mabasi wanajitolea bure. Hata wewe unaweza kujitolea ukitaka
Dogo siku hizi upo upande wa wananchi?Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.
mkuuu unaangaika na huyo! Apo alipo tayari Alishachizi atakimbiaje nchi hii2015Jitahidi uwepo live ITV mnamo saa kumi kamili jioni. Karibu sana!
Nimeuliza hapa konda kasema ni shilingi 100000 kuwapeleka tu huko jangwani wakitaka na kurudi tsh 250000
vip intelijensia ya geshi la polisisiem inasemaje mpaka sasa?
Changia hata buku 5 basi...
Makamanda tupeni updates kinachoendelea hapo jangwani sisi wengine tupo mbali Karatu.