.....maneno ya wanenguwaji utayajuwa tu !!!!
Mmeshaolewa na CUF mtaishia kuchezea ndevu za Seif tu.
Wamesaini saa ngapi sasa MOU maana sikuona au watasaini usiku kwenye dhifa na hiyo dhifa sijui vinywaji gani mtaweka! wachaga wanataka ulabu! CUF wanataka gahawa na halua! hapo sasa!

ITV na Radio one ni vya wachaga. We sikiliza matangazo ya vifo kama utasiki kifo cha Masanja, Rutashobya au mwakalindile!
gumegume la lumumba hewani !!
mkutano umemalizika bila ya viongozi wa ukawa kuwa na muelekeo ulio sawia
ITV na Radio one ni vya wachaga. We sikiliza matangazo ya vifo kama utasiki kifo cha Masanja, Rutashobya au mwakalindile!
Sema bibie!
Wamesaini saa ngapi sasa MOU maana sikuona au watasaini usiku kwenye dhifa na hiyo dhifa sijui vinywaji gani mtaweka! wachaga wanataka ulabu! CUF wanataka gahawa na halua! hapo sasa!
...
Kigoma kuwa Dubai...
ogopa viongozi waongo waongo Prof Lipumba !!!
Isikariri maisha ,muda na wakati huwa vinabadilika na mambo mengine hubadilika kutokana na mazingira,usikariri kama kasuku mkuu.
Hawa jamaa wana mambo ya kinyumenyume hata hiyo wanayoiita katiba ya wananchi haijulikani,labda NKATABA watasaini kwenye honeymoon.