Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
mipaka ya nchi inafuata inafuata International laws au Euclidean Geometry? fala wewe?Logical non sequitur.
You are basing your question on the wrong assumption kwamba naongelea kuheshimiwa kwa mipaka ya kimataifa.
Naongelea Euclidean Geometry, si mipaka ya kimataifa.
Kwani nani kakwambia naongelea mipaka ya nchi?mipaka ya nchi inafuata inafuata International laws au Euclidean Geometry? fala wewe?
Kwani nani kakwambia naongelea mipaka ya nchi?
Angalia ulivyo boya!!Huo mpaka wa Kenya ukienda wanavyotaka straight kuna kisehemu cha juu kabisa cha Pemba kitakatwa na Kenya.
Unahemka sana, hujajibu swali.Angalia ulivyo boya
Unahemka sana, hujajibu swali.
Kwani nani kakwambia naongelea mipaka ya nchi?
Angalia ulivyo boyaHuo mpaka wa Kenya ukienda wanavyotaka straight kuna kisehemu cha juu kabisa cha Pemba kitakatwa na Kenya.
Sijaongelea mipaka ya nchi, nimeongelea hypothetical geometrical lines.Angalia ulivyo boya!!
Mzee, sijui kwanini ukisikia jina Kenya huwa unawehuka. Sasa kati ya Kenya na Somalia ni nchi ipi ambayo haiheshimu mipaka ya kimataifa? Usijaribu kupotosha watu kwa chuki zako za kitoto. Kenya haikudai eneo hilo ghafla kwa kubadilisha mpaka. Mpaka huo umekuwepo hivyo na Somalia imekuwa ikikubali mpaka huo kama ulivyo kwa miongo zaidi ya mitano. Wao wenyewe ndio walipeleka kesi ICJ, sio Kenya, na tutakuwa humu tu watakapopata aibu ya mwaka bila hata ya Kenya kushiriki kwenye kesi hiyo.Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?
Mkuu, jamaa huyu kazoea sana kuwakejeri na kubeza beza Watazania kiaina, niliisha msoma kisaikolojia siku nyingi tu ana tabia ya kuuma na kupuliza - anafikiri watanzania hatuna uwezo wa kujibu mapigo - leo nimeamua kumtolea uvivu, na akiendMkuu umetumia nguvu kubwa sana kumjibu mpuuzi,huyo kilaza MK254 ni wa kupuuzwa 100%
ramani waliyonayo ICJMzee, sijui kwanini ukisikia jina Kenya huwa unawehuka. Sasa kati ya Kenya na Somalia ni nchi ipi ambayo haiheshimu mipaka ya kimataifa? Usijaribu kupotosha watu kwa chuki zako za kitoto. Kenya haikudai eneo hilo ghafla kwa kubadilisha mpaka. Mpaka huo umekuwepo hivyo na Somalia imekuwa ikikubali mpaka huo kama ulivyo kwa miongo zaidi ya mitano. Wao wenyewe ndio walipeleka kesi ICJ, sio Kenya, na tutakuwa humu tu watakapopata aibu ya mwaka bila hata ya Kenya kushiriki kwenye kesi hiyo.
Ilikuwa lazima amjibu ili asijione ana akili nyingi.Mkuu umetumia nguvu kubwa sana kumjibu mpuuzi,huyo kilaza MK254 ni wa kupuuzwa 100%
Ona sasa, hujielewi wewe. Kiranga kuna nati ilidondoka zamani kwenye dish la huyu mzee. [emoji4] Huyu ni kupuuzwa tu, usijipe kibarua kigumu.ramani waliyonayo ICJ
Upitia uzi vema na maneno ya hao manyang'auIla myoa UZI ulitaka tu UZI wako upate covorage kubwa , sasa mbona hapo hatuoni hao wa [emoji1139] wakilalamika kuhusu ilo eneo laa bahari
Na kama wao [emoji1139] wamejitoa ICJ how come waje walalamikie eneo la bahari
All in all ktk ilo kama kweli [emoji1139] wata raise hakika watakuwa wamekosea
Ww hao manyang'au wasikisumbue
Yani unaweza kumwambia coastline ya Afrika imekaa kama kichwa cha mtu, akaona umetaka kumpunja mpaka wa Tanzania!Ona sasa, hujielewi wewe. Kiranga kuna nati ilidondoka zamani kwenye dish la huyu mzee. [emoji4] Huyu ni kupuuzwa tu, usijipe kibarua kigumu.
Kuna aliyekuambia South Africa ni ndugu zetu? Nadhani hujui historia ya Kwa nini hawa jamaa wanakuja Tanzania na si Kenya, japo si ndugu zetu lakini huja kutembelea au kutafuta makaburi ya wapendwa wao na huyakuta pia kuna ndugu na watoto wao hasa Morogoro tambua hilo, sio nyinyi majirani tu lakini mkija huku mnajiita wakurya au wamasai, watanzania hatuhitaji fadhila ukigeuka Sawa usipokumbuka wasalimieMara nyingi tukiongea kuhusu shitholes huwa hatuijadili South Africa, japo huwa mnapenda kuwashobokea mkiwaita ndugu lakini wao wako nje ya hizi mada.
Hahahaha! Kweli umemchekecha Hadi kaingia kingi mwenyewe, msamehe bure mkuu.Angalia ulivyo boya!!
Nenda kwenye nyimbo za sho madjozi kule youtube uone wakenya wanavyohangaika kuihaminisha dunia kama yule bint aliishi kenya,ndipo utakapojua nyang'au wana akili ya aina gani na wivu uliowajaa!Kuna aliyekuambia South Africa ni ndugu zetu? Nadhani hujui historia ya Kwa nini hawa jamaa wanakuja Tanzania na si Kenya, japo si ndugu zetu lakini huja kutembelea au kutafuta makaburi ya wapendwa wao na huyakuta pia kuna ndugu na watoto wao hasa Morogoro tambua hilo, sio nyinyi majirani tu lakini mkija huku mnajiita wakurya au wamasai, watanzania hatuhitaji fadhila ukigeuka Sawa usipokumbuka wasalimie
Zao hizo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nenda kwenye nyimbo za sho madjozi kule youtube uone wakenya wanavyohangaika kuihaminisha dunia kama yule bint aliishi kenya,ndipo utakapojua nyang'au wana akili ya aina gani na wivu uliowajaa!