Picha na ramani: Eneo la bahari Wakenya waiomba Serikali yao kuigeukia Tanzania

Picha na ramani: Eneo la bahari Wakenya waiomba Serikali yao kuigeukia Tanzania

Logical non sequitur.

You are basing your question on the wrong assumption kwamba naongelea kuheshimiwa kwa mipaka ya kimataifa.

Naongelea Euclidean Geometry, si mipaka ya kimataifa.
mipaka ya nchi inafuata inafuata International laws au Euclidean Geometry? fala wewe?
 
Angalia ulivyo boya!!
Sijaongelea mipaka ya nchi, nimeongelea hypothetical geometrical lines.

Hakuna mpaka wa nchi uliopita kuigawanya Pemba.

Can you read with comprehension you retrograde retard?
 
Kwahiyo mipaka ya kimataifa haiheshimiwi bali matakwa ya Wakenya sio?
Mzee, sijui kwanini ukisikia jina Kenya huwa unawehuka. Sasa kati ya Kenya na Somalia ni nchi ipi ambayo haiheshimu mipaka ya kimataifa? Usijaribu kupotosha watu kwa chuki zako za kitoto. Kenya haikudai eneo hilo ghafla kwa kubadilisha mpaka. Mpaka huo umekuwepo hivyo na Somalia imekuwa ikikubali mpaka huo kama ulivyo kwa miongo zaidi ya mitano. Wao wenyewe ndio walipeleka kesi ICJ, sio Kenya, na tutakuwa humu tu watakapopata aibu ya mwaka bila hata ya Kenya kushiriki kwenye kesi hiyo.
 
Mkuu umetumia nguvu kubwa sana kumjibu mpuuzi,huyo kilaza MK254 ni wa kupuuzwa 100%
Mkuu, jamaa huyu kazoea sana kuwakejeri na kubeza beza Watazania kiaina, niliisha msoma kisaikolojia siku nyingi tu ana tabia ya kuuma na kupuliza - anafikiri watanzania hatuna uwezo wa kujibu mapigo - leo nimeamua kumtolea uvivu, na akiend
eleza tabia zake za chini chini ya kuisema sema vibaya Tanzania ntamfugulia a pandora box mpaka akose pa kukimbilia.
 
Mzee, sijui kwanini ukisikia jina Kenya huwa unawehuka. Sasa kati ya Kenya na Somalia ni nchi ipi ambayo haiheshimu mipaka ya kimataifa? Usijaribu kupotosha watu kwa chuki zako za kitoto. Kenya haikudai eneo hilo ghafla kwa kubadilisha mpaka. Mpaka huo umekuwepo hivyo na Somalia imekuwa ikikubali mpaka huo kama ulivyo kwa miongo zaidi ya mitano. Wao wenyewe ndio walipeleka kesi ICJ, sio Kenya, na tutakuwa humu tu watakapopata aibu ya mwaka bila hata ya Kenya kushiriki kwenye kesi hiyo.
ramani waliyonayo ICJ

kharidad3.jpg
 
Ila myoa UZI ulitaka tu UZI wako upate covorage kubwa , sasa mbona hapo hatuoni hao wa [emoji1139] wakilalamika kuhusu ilo eneo laa bahari
Na kama wao [emoji1139] wamejitoa ICJ how come waje walalamikie eneo la bahari

All in all ktk ilo kama kweli [emoji1139] wata raise hakika watakuwa wamekosea
Upitia uzi vema na maneno ya hao manyang'au

Sent from my vivo 1820 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi tukiongea kuhusu shitholes huwa hatuijadili South Africa, japo huwa mnapenda kuwashobokea mkiwaita ndugu lakini wao wako nje ya hizi mada.
Kuna aliyekuambia South Africa ni ndugu zetu? Nadhani hujui historia ya Kwa nini hawa jamaa wanakuja Tanzania na si Kenya, japo si ndugu zetu lakini huja kutembelea au kutafuta makaburi ya wapendwa wao na huyakuta pia kuna ndugu na watoto wao hasa Morogoro tambua hilo, sio nyinyi majirani tu lakini mkija huku mnajiita wakurya au wamasai, watanzania hatuhitaji fadhila ukigeuka Sawa usipokumbuka wasalimie
 
Wakenya Msomali hamtamuweza mahakamani hadi ground kwenye vita..Cha msingi nyie kuleni buyu tu
 
Kuna aliyekuambia South Africa ni ndugu zetu? Nadhani hujui historia ya Kwa nini hawa jamaa wanakuja Tanzania na si Kenya, japo si ndugu zetu lakini huja kutembelea au kutafuta makaburi ya wapendwa wao na huyakuta pia kuna ndugu na watoto wao hasa Morogoro tambua hilo, sio nyinyi majirani tu lakini mkija huku mnajiita wakurya au wamasai, watanzania hatuhitaji fadhila ukigeuka Sawa usipokumbuka wasalimie
Nenda kwenye nyimbo za sho madjozi kule youtube uone wakenya wanavyohangaika kuihaminisha dunia kama yule bint aliishi kenya,ndipo utakapojua nyang'au wana akili ya aina gani na wivu uliowajaa!
 
Back
Top Bottom