Picha na ramani: Eneo la bahari Wakenya waiomba Serikali yao kuigeukia Tanzania


Liinsha lote hili siku ya wiki, subiri nitalisoma na kukujibu nikipata fursa, nimepita juu juu tu na kuona ni zile yada yada za mliikomboa Afrika ambazo ni ngonjera zisizo na mantiki enzi za leo, watu wanapambana na umaskini, hiyo Afrika kusini vijana wa leo wanahangaika kwenye soko la ajira, wengi hawamjui Mandela, humskia tu ila hawana muda huo wa nyimbo za uzalendo wakati nchi yao ufisadi umetamalaki akina sijui Zuma wanaiba na kuoa wake wengi ukihoji unaambiwa Mandela aliikomboa nchi.
Ndio hata kama ilivyo Tanzania, vijana wenu wanahangaika kwenye umaskini na ufisadi ila wakihoji mnawajibu na hizi pumba za sijui Nyerere aliikomboa Afrika.
 
Rais wa EA yuko salama salmini,halafu hata hakutamka neno naskia mahindi yameruhusiwa tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ili kuondoa aibu ya kula matapishi yao wanajifanya kuweka masharti ya hapa na pale ili waonekane wana msimamo.

Nyie kama wanaume fungeni mpaka tucheze ligi halafu tutajua nani mwanaume.
 
Malaya tu ndiye anaweza kuwaza hilo. Ajaribu mtu kuichokoza Tz ndo atajua kama watz ni wamoja au la.
 
Malaya tu ndiye anaweza kuwaza hilo. Ajaribu mtu kuichokoza Tz ndo atajua kama watz ni wamoja au la.
wana zile league zao za twitter wanadhani wanaweza kumshambulia kila mtu.[emoji23][emoji23]
 
Ok ni hivi,
Ramani ni kama ilivyo hapo juu, hakuna mahakama wala baba yake. Mtu akitaka eneo aje kuchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…