Picha na video za anayeshukiwa kwa Mauaji ya Charlie Kirk

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
FBI yameitisha mkutano na waandishi wa habari na kuachia video mpya ikimuonyesha mtuhumiwa akiondoka eneo la Utah Valley University baada ya tukio la kumpiga risasi Charlie Kirk.

Your browser is not able to display this video.

​

Source: AFP & CNN
 
Attachments

  • The FBI held a press conference to release new video of the suspect leaving the scene of the Uta.mp4
    11.1 MB
  • get (1).jpeg
    126 KB · Views: 34
Elon musk jamaa mbaguzi sana,issue ya yule dada ya ukraine kuuliwa na black kwenye subway,elon alikua anaiongelea kiubaguzi mno,ili tukio la kuuliwa kirk nilikua naomba sana muuaji asije kuwa ni black maana lingeongelewa kiubaguzi mno
 
Idk why these Americans believe that there's some kind of revolution that's going to happen here. The poorest Americans here still somewhat have programs to help them. However, poorest in Asia and Africa make up a significant proportion of the population and have zero programs.
 
Elon musk jamaa mbaguzi sana,issue ya yule dada ya ukraine kuuliwa na black kwenye subway,elon alikua anaiongelea kiubaguzi mno,ili tukio la kuuliwa kirk nilikua naomba sana muuaji asije kuwa ni black maana lingeongelewa kiubaguzi mno
Acha kulialia kuhusu ubaguzi, na wewe unachotakiwa kufanya ni kuwabagua unataka kuwabagua, period.
 
Elon musk jamaa mbaguzi sana,issue ya yule dada ya ukraine kuuliwa na black kwenye subway,elon alikua anaiongelea kiubaguzi mno,ili tukio la kuuliwa kirk nilikua naomba sana muuaji asije kuwa ni black maana lingeongelewa kiubaguzi mno
Hata sisi tuko hivyo hivyo, mtu mweusi akiuliwa na mtu mweupe huwa tunaongelea kiubaguzi sana.
 
Elon musk jamaa mbaguzi sana,issue ya yule dada ya ukraine kuuliwa na black kwenye subway,elon alikua anaiongelea kiubaguzi mno,ili tukio la kuuliwa kirk nilikua naomba sana muuaji asije kuwa ni black maana lingeongelewa kiubaguzi mno
Elon mpuuzi sana
 
Kabla ya kumlaumu Elon jikumbushe kuhusu baadhi ya watanzania wenzako wanavyowabagua wenzao na kuwaita maponjoro, wenye asili ya Asia nk.
 
You can run but you cannot hide.
exactly, and this was not the right approach ending up someone's life who opens up debate publicly so if anyone having opposite thoughts to his, could go there and challenge Charlie but not killing him
 
Kapata haki yake huyu alikuwa anashangilia watoto wa Gaza kuupigwa mabomu na raia wasikuwa na hatia kuuliwa.
 
hapana, Charlie alikuwa anasimamia nani aliyeanzisha vita na inajulikana ni Hamasi lakini pia alikuwa anaunga mkono jitihada za upatanisho na kumaloiza vita kati ya Israel na Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…