charlie kirk

Charles James Kirk (October 14, 1993 – September 10, 2025) was an American conservative political activist, author, and media personality. He co-founded the conservative organization Turning Point USA (TPUSA) in 2012 and was its executive director. He was the chief executive officer of Turning Point Action (TPAction) and a member of the Council for National Policy (CNP). In his later years, he was one of the most prominent voices of the populist MAGA movement and exemplified the growth of Christian nationalism in the Republican Party.
Kirk was born and raised in the Chicago suburbs of Arlington Heights and Prospect Heights, Illinois. In high school, Kirk actively engaged in politics, supporting Republican candidate Mark Kirk (no relation) and his U.S. Senate campaign. He briefly attended Harper College before dropping out to pursue political activism full-time, influenced by Tea Party member Bill Montgomery. In 2012, Kirk founded TPUSA, a conservative student organization that quickly grew with backing from donors like Foster Friess.
Kirk expanded the organization's influence through initiatives such as the Professor Watchlist and School Board Watchlist, which sought to fire or silence professors and educators through targeted harassment campaigns for sharing opinions opposed by Turning Point. In 2019, Kirk founded Turning Point Action, a political advocacy arm, and later, with Pentecostal pastor Rob McCoy, formed Turning Point Faith—aimed at mobilizing religious communities on conservative issues. Kirk hosted The Charlie Kirk Show, a conservative talk radio program. A key ally of Donald Trump, Kirk promoted right-wing and Trump-aligned causes. He espoused a variety of controversial views, especially regarding his opposition to gun control, abortion and LGBTQ rights; his criticism of the Civil Rights Act of 1964 and Martin Luther King Jr.; and his promotion of Christian nationalism, COVID-19 misinformation, the Great Replacement conspiracy theory, and false claims of electoral fraud in 2020.
On September 10, 2025, Kirk was shot and killed while speaking at a TPUSA event on the campus of Utah Valley University as part of his American Comeback Tour at his signature Prove Me Wrong table.

View More On Wikipedia.org
  1. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inafuta Visa kupitia X

    Wakuu kuweni makini na mienendo yenu huko mitandaoni hasa kama unatumia ID inayokufanya ujulikane kwa urahisi. Mambo yamekuwa si mambo huko X baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kutangaza kupitia X kwamba haitowakaribisha wageni wowote wanaotamani kifo kwa Wamarekani, ikionyesha wazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Charlie Kirk Kuuawa, wafuasi wa chama cha Democrats waanza kupanga majina ya Republicans watakaofuata kuuawa

    Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wachunguzi na taarifa za familia zinaonyesha kuwa Tyler Robinson aligeukia masuala ya siasa miaka ya hivi karibuni

    ATHARI ZA ANTIFA, INTIFADA, UTETEZI WA MASHOGA Wachunguzi na taarifa za familia zinaonyesha kuwa Tyler Robinson aligeukia maswala ya siasa miaka ya hivi karibuni, haswa baada ya shule ya sekondari. Inasemekana alikataa maadili ya conservative yaliyokuwa ndio shina katika malezi yake ndani ya...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

    Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

    Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa Charlie alikulia familia ya Republican akapandikizwa siasa za Democrats chuoni, Democrats wamepongeza na wameapa kuua republicans wengine

    Tyler Robinson, muuaji wa Charlie Kirk, alikulia familia ya Republicans wakiwa wakristo kwa dini, Picha zake nyingi za zamani zilimuonesha katika misimamo hio Alipoenda chuoni alibadili mtazamo baada ya kupandikizwa siasa za Democrats, hali hii ilimchochea kumuua Charlie Kirk aliekuwa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

    Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Miaka 8 ya shambulizi la Lissu isiyo hata na mshukiwa dhidi ya Masaa 12 ya kukamatwa na FBI kwa muuaji wa Charlie Kirk

    Hii imekaaje wakubwa, FBI wamefanikiwa kumkamata muuaji wa Charlie Kirk wakitumia chini ya siku moja tu kufanikisha hili. Ila, miaka 8 sasa imepita tangu mnadhimu mkuu wa Upinzani Bungeni, mtu mwema na Mbunge wa wakati huo Tundu Lissu ashambuliwe, hakuna hata suspect tu hadi sasa. Hii ina...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Picha na video za anayeshukiwa kwa Mauaji ya Charlie Kirk

    FBI yameitisha mkutano na waandishi wa habari na kuachia video mpya ikimuonyesha mtuhumiwa akiondoka eneo la Utah Valley University baada ya tukio la kumpiga risasi Charlie Kirk. Source: AFP & CNN
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana Charlie Kirk alikuwa shujaa wa nini huko Marekani mpaka anapewa heshima ya kuzikwa kijeshi na serikali ya Trump?

    Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na mwanahabari(mtandaoni) wa mrengo wa kulia/right winger/MAGA. Serikali nzima ya Marekani ya Trump imempa hadhi ya...
Back
Top Bottom