Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
Screenshot_20250913_161019_X.jpg
Screenshot_20250913_102341_X.jpg
 
🤣🤣🤣

ILA ISLMISTS NA LIBERALS MNA UTAPELI MKUBWA SANA.

YANI BABA AKE KATOA MAELEZO KUWA AMEMLEA KUWA CONSERVATIVE ILA MWISHONI MTOTO AKAANZA KUWA AFFECTED NA SERA ZA ANTIFA NA USHOGA ILA NYIE MNAANDAA UTAPELI ONLINE

🤣🤣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿✝️🇮🇱🇺🇸
 
Screenshot_20250913_165229_X.jpg
 
Charlie Kirk ameuliwa kama walivyotaka kumuua Trump kwasababu Democrats walimuona tishio,

Democrats hawapendi kuona mtu mwenye influence kubwa anaekemea abortion, watoto kubadili jinsia, kuruhusu wahamiaji haramu, ndoa za jinsia moja, watoto kufundishwa ngono, kupata fursa kwa kigezo cha rangi, n.k.

Huyo Candace Owens kaacha kabisa harakati zake za kutetea watu weusi siku hizi 90 % ya post zake ni wayahudi, kahongwa pesa ndefu sana, Charlie Kirk alipouliwa aliweka hizo post kusingizia wayahudi wamemuua, baada ya muuaji kupatikana kabadili gia angani kahamia kwa mabilionea.

1757773547905.png
 
🤣🤣🤣

ILA ISLMISTS NA LIBERALS MNA UTAPELI MKUBWA SANA.

YANI BABA AKE KATOA MAELEZO KUWA AMEMLEA KUWA CONSERVATIVE ILA MWISHONI MTOTO AKAANZA KUWA AFFECTED NA SERA ZA ANTIFA NA USHOGA ILA NYIE MNAANDAA UTAPELI ONLINE

🤣🤣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿✝️🇮🇱🇺🇸

Ila wewe mzayuni bana, sasa akina Candace Owens na Tucker Carlson na Uliberali wapi na wapi?
 
Huyo Candace Owens kaacha kabisa harakati zake za kutetea watu weusi siku hizi 90 % ya post zake ni wayahudi, kahongwa pesa ndefu sana, Charlie Kirk alipouliwa aliweka hizo post kusingizia wayahudi wamemuua, baada ya muuaji kupatikana kabadili gia angani kahamia kwa mabilionea.

Candace Owens amekuwa Conservative na Far-right activist tokea mwaka 2017 huko. Siku nyingi. Sema amekuwa akiwasema na kuwashambulia mayahudi na mazayuni waziwazi miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia baada ya matukio ya Oktoba 7, 2023 na baadae alipofukuzwa Daily Wire mwaka 2024.

Kuna mpasuko miongoni mwa watu wa right-wing kuhusiana na mazayuni. Sio kwamba wote wanakubaliana katika misimamo yao. Kuna wanaowaunga mkono na kuwatetea mazayuni na dola yao na kuna wanaowapinga mazayuni na dola yao. Mfano wa wanaowapinga mazayuni ni akina Candace Owens, Tucker Carlson, Alex Jones na wengineo wengi tu.
 
Back
Top Bottom