Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Wakuu kuweni makini na mienendo yenu huko mitandaoni hasa kama unatumia ID inayokufanya ujulikane kwa urahisi.
Mambo yamekuwa si mambo huko X baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kutangaza kupitia X kwamba haitowakaribisha wageni wowote wanaotamani kifo kwa Wamarekani, ikionyesha wazi baadhi ya watu ambao viza zao zimefutwa baada ya kurejea machapisho yenye kauli za chuki na kubagaza kifo cha Charlie Kirk katika mtandao huo.