Muuaji wa Charlie Kirk Marekani agundulika ni kutoka miongoni mwao wenyewe wahafidhina(Conservatives/right wingers)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Katika hali isiyotarajiwa baada ya Rais wao Trump, MAGA wakina Elon Musk na Conservatives wengi wa Marekani waropokaji kusambaza uzushi kwamba muuaji ni Democrat/leftist hatimaye aliyepatikana imegundulika ni kijana kutoka miongoni mwao mpenda bunduki!
Screenshot_20250912_193351_X.jpg
 
Just imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.

Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali
 
Kwa jinsi utekaji na mauaji yalivyo, naona chuma iwe haki ya kila mtu
 
Ndio maana tulisema yule mfu alikuwa ni kichwa pumbu tu anaenda na upepo wa sosho media kujipatia umaarufu,
Halafu kichwa pumbu sio Anglo America yuko kama mzayuni na hawa kama huyu ni mdunguaji ni wale White supremacists na wanawachukia wazayuni kushinda weusi.....

1757700229070.png
 
Just imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.

Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali
Nadhani hatuelewi maana ya gun ownership.
1. Silaha zinauzwa holela kwenye Black Market.
2. Ukizuia raia wa kawaida kuwa na silaha ilihali wahalifu wanazipata kiurahisi umesaidia nini?
3. Wanachotaka ni kama silaha zinazuiwa kisheria basi hata Black Market zisiwepo kabisa otherwise unatengeneza tena tatizo jingine kubwa zaidi.
4. Mitandao sio kipimo cha kila kitu, Democrats wana mdomo sana if anything Trump anatukanwa kila siku ila chaguzi ikifika anashinda kwa kishindo!!
5. Kuhusu kufa kwa jambo ulilopigania, haina maana alikosea mfano Mbowe alikubali uchaguzi wa chadema uwe huru na haki tena live kwa TV ila ndio akaanguka? Je alikosea kuweka uchaguzi wa wazi kisa hakushinda? Nadhani kila wazo lina gharama zake
 
Upepo gani wakati alikua anapinga ujinga wa "woke" na cancel culture.
Hivi wewe mtu mweusi ambaye kwa mzungu wewe ni nigger bila kupepesa macho halafu unakuja kushangilia mtu anaeeneza ujinga kwa kusingizia tatizo ni WOKE, ambayo ni kampeni ya wazungu kulihusisha na upupu ili lipoteze dhamira yake, hivi unajua asili ya neno WOKE, au mnakurupuka na upupu mnaosoma mitandaoni...

1757701759155.png

Na hili neno jingine 'cancel culture' liko juu sana ya ufahamu wako, kwa hiyo silijadili kama hata WOKE hujui......
 
Just imagine Kila mmoja akiwa na chuma Yake matakoni kaificha kama vile wallet yako basi itakuwa ni mwendo wa kurushiana njugu Tu. Alichokuwa akikipigania ndio kimemuondoa, unajaribu kupigania kitu Fulani kiwepo Kwa mapana Yake then kinakuondoa, hii Inaonesha ni Kwa namna gani Kwa wale wazee wa ramli chongamishi kwamba alipigania Jambo ambalo si sahihi.

Nimeona kuna watu wameshangilia Sana mitandaoni, ukishaona Hali kama hiyo jua binadamu tumefikia Hali mbaya Sana Kwa kweli hata mnyama mwitu ana afadhali
Hii ni kauli ya hovyo sana aliyowahi kuitoa
Screenshot_20250912_072141_X.jpg
 
Back
Top Bottom