Picha: Naibu Spika, Tulia Ackson akiwa mdogo

Maisha ni safari ndefu

Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo

Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi

Source: Her Facebook Page

View attachment 1901100
Mh.Naibu Spika ana SURA YA UTULIVU WA KIAKILI toka akiwa mdogo......

Ukimuangalia USONI unaigundua IQ yake ILIYO KUBWA MNO......

Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema ,uhai mrefu na amuepushe na mabalaa ya mahasidi wanaomhusudu ,aaaamin aaaaamin 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…