Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mzee Pombe kafa.Maisha marefu kwake. Mbona yuko kimya sana huyu mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Pombe kafa.Maisha marefu kwake. Mbona yuko kimya sana huyu mwanamke?
Tulia yuko naturally lakini beauty nakataaaBeauty with brain. Kiukweli huwa namkubali alivyo natural, angekulia marekani angekuwa model
Ameolewa huyu?Tulia yuko naturally lakini beauty nakataaa
She was so beautifulMaisha ni safari ndefu
Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo
Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi
Source: Her Facebook Page
View attachment 1901100
Anaogopa Chanjo, huku Sugu anasogea, sijui watagawa lini lle Jimbo la Uyole lipatikaneMaisha marefu kwake. Mbona yuko kimya sana huyu mwanamke?
Ndio ameolewa na Mimi.Ameolewa huyu?
Imeandikwa wapi??Wapumbavu hujadili "muonekano" wa mtu, wenye busara hujadili matendo ya mtu.
Hongera mkuuNdio ameolewa na Mimi.
Kwenye vitabuNdio ameolewa na Mimi.
Asante Sana MkuuHongera mkuu
Mbona alikuwa mzuri sana
Yeye na wenzie wameitupa bandari jalalani.Sijui mimi nitawekwa kundi gani.Wapumbavu hujadili "muonekano" wa mtu, wenye busara hujadili matendo ya mtu.