Picha - Nairobi ilivyokua miaka ya 60

wakenya bn sijui wanaonaga watu maboya sn ?!!!

Moi Avenue ya wakati wa mzungu

Moi Avenue ya leo

Kenyatta avenue, wakati ikiitwa Delamere avenue

Kenyatta avenue ya leo
 
Kumbe maandishi makubwa kwenye plate number za gari mlianza kutumia toka kitambo!!!!
hapo huwa nachoka kbs plate no zao yaani zipo hvyo kbs ...ukitazama plate namba zote kuanzia ug,tz,bur,rwnd za kwao tu ndo hvyo kbs maandishi makubwa yasiyo ba mvuto hta kidogo sijui watabadilika lini hawa ndg ztu
 
Kazi ya nunber plate ni nini? Si ni namba ziweze kuonekana kiuhakika? Kwani inabadilisha 'engine', muundo wa gari au uwezo wa dereva kuendesha gari lenyewe?
 
If you read in between the lines this tanzanians are finally owning up to the fact that we keep beating them ten nil,na wivu ndio wamejaza[emoji16][emoji16]
 
If you read in between the lines this tanzanians are finally owning up to the fact that we keep beating them ten nil,na wivu ndio wamejaza[emoji16][emoji16]
Ile kauli yao ilisha badilisha gia angani pia. Sasa hivi imekuwa # Hapa kazi duh!
 
Aerial View of Nairobi in 1935

Top view is Railway then you can see Moi Avenue, Archives, Kenyatta Avenue, Tom Mboya and Biashara street.
 
Wewe namba za usajili kwa magari kazi yake nini kama sio utambulisho, kwani unafikiria ni fashion show.
Dingi Leo umekula za Uso
Pole.
Next time usikurupuke tena!
 
Hawana walichoongeza hao
Do some research on this topic wacha kutumia akili kama kofia na pia internet siyo ya pornography peke yake... Unadhihirisha ujinga wa waTanganyika na kudhalilisha nchi yako.
 
kumbe namba zionekane tu bc anzeni kuchora kwa mkaa tu zitaonekana vzr kbs
LDC mtatuelimisha nini wakati hata barabara na magari hamna. Tz ni nchi mojawapo Masikini wa kutupwa duniani level moja na Somalia, Afghanistan, newly formed South Sudan(angalia mitandaoni Kama S. Sudan ni LDC kama nyinyi).
 
Do some research on this topic wacha kutumia akili kama kofia na pia internet siyo ya pornography peke yake... Unadhihirisha ujinga wa waTanganyika na kudhalilisha nchi yako.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ponoo ndo zao, wakimaliza wanawafata kina sijui zari na mobetto kule insta!
 
hiyo picha ya saopaul unasema Nairobi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…