Mkuu unaweza kupewa udaktari wa heshima. Ila UDAKTARI BINGWA BOBEZI unapatikana darasani.Sasa ulitaka anune au?🤣
Na hio title imekaa kimkakati zaidiOmbi la kimkakati
Yaan anapewa udaktari wa watu kusomea yeye anapewa tu kwa kufungiwa kwemye furushi huo hapo chukua uende nadhani ni sababu aanachangia zile million 100 100 kule JKCI kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wasioweza kumudu gharama hizo Peter ******* Daktari ataelezea zaidiMkuu unaweza kupewa udaktari wa heshima. Ila UDAKTARI BINGWA BOBEZI unapatikana darasani.
Kwa lugha nyingine bingwa wa mabingwaBingwa mbobezi.
Huko wanakopewa vyeti ni magumashi tupuKwamba hadi anaitwa daktari alikuwa hajatahiniwa tu?
Kwanini wapewe kibali cha kuajiri moja kwa moja?
Kuna maslahi gani kwayo kuajiri moja kwa moja?
Kishavuka huko ni profesaPongezi kwa Dr. Samia