Politician kaziniiWakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hii nchi kuna miananchi ya ajabu tayari itaenda kufurahi kuwa Mbunge kala nao ubwabwa so anafaa.Hao ndo CCM mkuu.
Watu wanataka vifaa tiba, wenyewe wanapeleka ubwabwa
Hakuna wa kusali hapoMi nachompendeaga huyu jamaa ni kusali anasali sana huyu mtumish siyo mpagan January makamba
Eehh wananchi wanahitaji kula ubwabwa na mbunge wao😂Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Ni maigizo?Hakuna wa kusali hapo
Kusali ndo nn?Mi nachompendeaga huyu jamaa ni kusali anasali sana huyu mtumish siyo mpagan January makamba
Si hizi ndio nguo anazaaga sasa za kiraia vipi kwani lini alikuwa na gwanda?Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Mpagani ana shida gani??Mi nachompendeaga huyu jamaa ni kusali anasali sana huyu mtumish siyo mpagan January makamba
Uchaguzi umekaribia.Nape awafundishe wananchi wake kula mlo bora, sinia zima la wali na samaki mmoja sio mpango.