Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!