Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni 2025 hii. Muda wa publicity huu
Na sisi watanzania tunapenda kumasajiwa kihisia ili tuone nasi twajaliwa na hao "watoto wa wakulima wastaafu"..
Ndiyo jinsi ya kuwakamata Wabongo and that's what matters most. Kazi ya kuwapatia wananchi mahitaji haimuhusu kwa sasa, yeye ana majukumu ya kuwawakilisha bungeni wapiga kura wake.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Alafu mnene n yeye tu...!!!Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Kuna makumi ya vijiji mtama, vp umehangaika na kamoja tu hako?!!! Nakushauri tembelea vijiji vingine, hususani vile vya njia ya tandahimba (eg lindwandwali, chiuta, Mandwanga, lipome, nahukahuka, litipu, nyangamara, mbindo, mandwangwa, mnyambe n.k) halafu uje hapa baada ya kujua vilivyokuwa kabla na baada (yaani Sasa)
That's how players play the game.Wakti wakti ,hapo anawarushia pumba tu.Ana jambo lake miezi michache ijayo ,akilifanikisha tu .Watamuona tena 29 au 30.
Nguo za kiraia! Ulitaka avae nguo gani huyu division four?
Guess my articulation level is getting better 😁😁 thanks 🙏🏽I never thought the phrase "emotional massage" was a thing until i read your comment 😂😂
It doesn't matter, na wapiga kura wake hawajali. Baada ya huo ubwabwa watampigia kura za ndio. Akichanganya na mbinu chafu, anashinda ubunge, maisha yanaendelea. Hii ndio Bongoland.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
... hata Maulaya kuna 'PARTY ANIMALS'!haya mambo yanafanywa kwenye nchi iliyo jaa wajinga pekee
Huwa mnasali nae?Mi nachompendeaga huyu jamaa ni kusali anasali sana huyu mtumish siyo mpagan January makamba
Nguo za kiraia kwani yeye huwa anavaa sare za aina gani!Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Mkuu Nape anatimiza jukumu lake la msingi la kibunge kwa kukutana na wapiga kura wake, kuchangamana nao na kuongea nao kama sehemu ya kupokea maoni na kero zao ili aziwazilishe bungeni kama mwakilishi wao.Kwa hiyo anaamini hayo ndo mahitaji ya Wananchi?
Hii mbona kawaida Sana wananchiwapiga kura wameshaanza kutongozwaWakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa kisha unapiga picha nao basi. Mwisho wa siku wanakupa kura.
Hii ni script ya CCM tangu tupate uhuru mwaka 1961.
Hawa ndio CCM sasa bwana, watu wanataka maji safi na vifaa tiba wenyewe wanapeleka ubwabwa!
Huyu jamaa kwa sababu ya kiburi na jeuri zake huwa namchukia hapo,Wakuu,