njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hisia ,JERSEY ni ya ARSENAL.Hii nahisi kuna msimu arsenal waliuvaa.
Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
View attachment 2311892
kivipi wakati hii nyekundu yake kama inataka kuwa damu ya mzee.. na ime faintAchana na hisia ,JERSEY ni ya ARSENAL.
ya arsenal ina mistari hiyo ya kushuka chini iliyofaint? au ni ufanano wa collar na mabega?Hii nahisi kuna msimu arsenal waliuvaa.
Mockups mara nyingi zinavutia kuliko productya arsenal ina mistari hiyo ya kushuka chini iliyofaint? au ni ufanano wa collar na mabega?
Collar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.ya arsenal ina mistari hiyo ya kushuka chini iliyofaint? au ni ufanano wa collar na mabega?
Si kwa 100%Achana na hisia ,JERSEY ni ya ARSENAL.
sidhani kama dunia nzima jezi zote zilizofanyika kwa sasa unaweza kuja na bega na collar ya tofautiCollar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.
nimeangalia hata collar ni tofauti upishanaji wa mstari, anyway ni fan concept lakini utashangaa kuna jitu li zungu limepewa tenda huko likaja na utopolo wa kutisha ila hii jezi nimeipenda sanaCollar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.
Wala hazina mfanano wowote
Si kwa 100Achana na hisia ,JERSEY ni ya ARSENAL.
Kwa uzuri tu, ni nzuri.nimeangalia hata collar ni tofauti upishanaji wa mstari, anyway ni fan concept lakini utashangaa kuna jitu li zungu limepewa tenda huko likaja na utopolo wa kutisha ila hii jezi nimeipenda sana
bado vunja bei anamalizia mwaka wa pili hata mwaka jana watu walituma concepts zao kali akapuuza, hii jezi ukiangalia jamaa kaipangilia smart sana hata vunja bei haijakaa kwenye collar iko kama logo chini lakini ndo hivyo hatujui anapelekeaga designers ganiNani kapewa tenda? Ni bado huyo Bprice?