Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

ya arsenal ina mistari hiyo ya kushuka chini iliyofaint? au ni ufanano wa collar na mabega?
Collar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.
 
Collar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.
sidhani kama dunia nzima jezi zote zilizofanyika kwa sasa unaweza kuja na bega na collar ya tofauti
 
Collar na mabega, alichokifanya huyo jamaa ni kucheza na rangi ya kati, nakumbuka ile ya arsenal ilikuwa na damu ya mzee, huyu kaweka damu ya mzee na nyekundu.
nimeangalia hata collar ni tofauti upishanaji wa mstari, anyway ni fan concept lakini utashangaa kuna jitu li zungu limepewa tenda huko likaja na utopolo wa kutisha ila hii jezi nimeipenda sana
 
Jezi nzuri, ya Arsenal haina mistari iliyoshuka chini.
 
Tumekusikia
Msimu ujao tutaitumia
 
Nani kapewa tenda? Ni bado huyo Bprice?
 
Nani kapewa tenda? Ni bado huyo Bprice?
bado vunja bei anamalizia mwaka wa pili hata mwaka jana watu walituma concepts zao kali akapuuza, hii jezi ukiangalia jamaa kaipangilia smart sana hata vunja bei haijakaa kwenye collar iko kama logo chini lakini ndo hivyo hatujui anapelekeaga designers gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…