Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Salaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto, akiwa anaanza shule, kupata ubatizo na kipaimara, kuhitimu masomo picha zilihusika ili kuweka kumbukumbu
Bahati nzuri Dunia ,imepiga hatua,saizi mtu yeyote anaweza kupiga picha hata tukio lisilomuhusu nyumba,usafiri wako n.k Siyo Hilo tu asipokemewa anaweza kukupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako.
Siyo ridhaa tu anaweza kupost picha ambayo siyo nzuri na ikawafikia maelfu ya watazamaji. Kuja kustuka picha ishasambaa na fedheha umeshapata.
Wanaume tupunguze kujipost au kuruhusu watu wetu watupost kwani mara nyingi faida ni ndogo kuliko hasara.
Mambo haya tuwaachie KE tu mwanaume kupost picha na mapozi tofauti inaleta ukakasi kidogo.
Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.