Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Uliyemkwaza ni Diamond pekee, wengine hawajakwazika.Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliyemkwaza ni Diamond pekee, wengine hawajakwazika.Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Kumbe hujui hata lugha ya kiswahili!?Unataka kuolewa mwanaume?
Mara moja moja siyo mbaya, kucheka cheka na camera kila Mara Kwa jinsia ya kiume, haijaa sawa kwakweli.Salaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto,akiwa anaanza shule,kupata ubatizo na kipaimara,kuhitimu masomo picha zilihusika ili kuweka kumbukumbu
Bahati nzuri Dunia ,imepiga hatua,saizi mtu yeyote anaweza kupiga picha hata tukio lisilomuhusu.nyumba,usafiri wako n.k
Siyo Hilo tu asipokemewa anaweza kukupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako.
Siyo ridhaa tu anaweza kupost picha ambayo siyo nzuri,na ikawafikia maelfu ya watazamaji.
Kuja kustuka picha ishasambaa na fedheha umeshapata.
Wanaume tupunguze kujipost au kuruhusu watu wetu watupost kwani mara nyingi faida ni ndogo kuliko hasara.
Mambo haya tuwaachie KE tu mwanaume kupost picha na mapozi tofauti inaleta ukakasi kidogo.
Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Jamaa amesema kila mtu na mawazo yake. Sababu yako inaweza kuwa, unajisikia furaha ukipiga picha,Mademu wakucheki,unapenda attention Kwa hiyo unaitafuta Kwa Nguvu,wewe una sura nzuri umejua unajisnap unaongeza na vikolombwezo vya camera, Ah jamaa ni pretty boy, jaman huyu kaka mzuri!!!Kwanini tunaamini "Ninavyoishi mimi na wengine inabidi waishi hivyohivyo?".
Una uhakika utaratibu wako wa maisha unamfurahisha kila mtu?
Mtu anapiga picha 100 anajipost, sawa. Tueleze hapa pasi na shaka, anaathiri vipi shughuli zako za kila siku, anaathiri vipi familia yako, anaathiri vipi serikali yako?
Chukua yanayokufaa tuKwanini tunaamini "Ninavyoishi mimi na wengine inabidi waishi hivyohivyo?".
Una uhakika utaratibu wako wa maisha unamfurahisha kila mtu?
Mtu anapiga picha 100 anajipost, sawa. Tueleze hapa pasi na shaka, anaathiri vipi shughuli zako za kila siku, anaathiri vipi familia yako, anaathiri vipi serikali yako?
Umeeleza vizuri sanaJamaa amesema kila mtu na mawazo yake. Sababu yako inaweza kuwa, unajisikia furaha ukipiga picha,Mademu wakucheki,unapenda attention Kwa hiyo unaitafuta Kwa Nguvu,wewe una sura nzuri umejua unajisnap unaongeza na vikolombwezo vya camera, Ah jamaa ni pretty boy, jaman huyu kaka mzuri!!!
Hapa wahaya hutuambii kitu, wewe ni nani by the way? Ni pride tu, napenda kushiriki kwenye mitandao ya kijamii, Kama wasanii wengine napenda namm nionekane Kama wasanii na maceleb wengine nk nk nk.
Binafsi hiyo hoby sina.
Hahahahaaaa, nimecheka sana.
Hahahahaaaa, nimecheka sana.
Ila sasa nina wasiwasi, mume hajanijibu hadi saa hii, sijui kama ananipenda kweli au anataka kunichezea na kuniacha, vipi mwenzangu, umeshapata mtu anaekupenda?
Kazana tu rafiki yangu, wa ziada unaweza kumpata humuhumu.Mume anataka kukuacha kwenye mataa wakati ushaambia nyumbani 😂😂😂
Mie nimeshapata lakini akitokea wa ziada sio mbaya,sisi ni binadamu tunatakiwa kusaidiana 😂😂