Picha ni kumbukumbu nzuri, lakini wanaume tupunguze kujipost mitandaoni

Picha ni kumbukumbu nzuri, lakini wanaume tupunguze kujipost mitandaoni

Itakuwa ndinga aliyopost jamaa imekuchoma.
Kila mtu na akipendacho
 
###WaswahiliHusema###Ni Kweli Lakini Hayakuhusu###WaswahiliHusema###
 
Simu yangu,picha zangu,bando langu,akaunti ya mtandao ni yangu,naposti ninavyotaka,hakuna aliye spesho duniani,
NB
Duniani unaishi mara moja tu,hakuna mahali eti ukifa ndiyo utaenda kuenjoyi na kupata raha,Ishi leo.
Utaolewa
 
Mwanaune unalamba lips na kupasha mikono ka unataka kupiga makofi huku umekunjia nne ukutani, umevaa vipusa kisha unapost, mdogo wangu chunga mziki wahuni watatoboa spika.
 
Upo sahihi
Huwa nashangaa
Mwanaume unajipost,unataka nn?
Post Biashara yako ili watu wakuunge mkono
Wewe kama hujiposti ni wewe.

Hakuna anaye ingilia uhuru wako wa kutokujiposti.

Vivyo hata wanaume wanaojiposti ni uhuru wao kujiposti.
 
Back
Top Bottom