Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Upo sahihiSalaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto,akiwa anaanza shule,kupata ubatizo na kipaimara,kuhitimu masomo picha zilihusika ili kuweka kumbukumbu
Bahati nzuri Dunia ,imepiga hatua,saizi mtu yeyote anaweza kupiga picha hata tukio lisilomuhusu.nyumba,usafiri wako n.k
Siyo Hilo tu asipokemewa anaweza kukupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako.
Siyo ridhaa tu anaweza kupost picha ambayo siyo nzuri,na ikawafikia maelfu ya watazamaji.
Kuja kustuka picha ishasambaa na fedheha umeshapata.
Wanaume tupunguze kujipost au kuruhusu watu wetu watupost kwani mara nyingi faida ni ndogo kuliko hasara.
Mambo haya tuwaachie KE tu mwanaume kupost picha na mapozi tofauti inaleta ukakasi kidogo.
Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Haina nomaSalaam jamiiforum

Biashara sawa kabisaUpo sahihi
Huwa nashangaa
Mwanaume unajipost,unataka nn?
Post Biashara yako ili watu wakuunge mkono
Uko sahihi mkuu hupangiwiTusipangiane maisha
Wale ni brands we mwenzangu na Mimi huna views 20 millions unapost wanaview watu 10Haina noma
Ila vipi wale akina ronaldo, wanavyojipost vipi sio wanaume ?
Kwa wasanii hakuna shida wao ni brands lakini pia ni ambassadors kwenye maeneo mbalimbaliWengine wanafanya hivyo kwakuwa wako kibiashara zaidi, kama vile wasanii.
Hivo eeh
Weka mfanoSalaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto,akiwa anaanza shule,kupata ubatizo na kipaimara,kuhitimu masomo picha zilihusika ili kuweka kumbukumbu
Bahati nzuri Dunia ,imepiga hatua,saizi mtu yeyote anaweza kupiga picha hata tukio lisilomuhusu.nyumba,usafiri wako n.k
Siyo Hilo tu asipokemewa anaweza kukupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako.
Siyo ridhaa tu anaweza kupost picha ambayo siyo nzuri,na ikawafikia maelfu ya watazamaji.
Kuja kustuka picha ishasambaa na fedheha umeshapata.
Wanaume tupunguze kujipost au kuruhusu watu wetu watupost kwani mara nyingi faida ni ndogo kuliko hasara.
Mambo haya tuwaachie KE tu mwanaume kupost picha na mapozi tofauti inaleta ukakasi kidogo.
Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Mwanaaume unajipost umejibunua matako km dada yako mixer kufyatua miguu unataka nini lakini?Tusipangiane maisha
Mwanaume unajipostpost unatafuta nini kwa wanaume wenzio unataka kupakuliwa chakula?Kwanini tunaamini "Ninavyoishi mimi na wengine inabidi uishi hivyohivyo?".
Una uhakika utaratibu wako wa maisha unamfurahisha kila mtu?
Mtu anapiga picha 100 anajipost, sawa. Tueleze hapa pasi na shaka, anaathiri vipi shughuli zako za kila siku, anaathiri vipi familia yako, anaathiri vipi serikali yako?
Hujasema hizo hasara nyingi kuliko faida, uzi hauna maana, Idiotic mumbo jumbo.Salaam jamiiforum
Habari za jumapili hope mko wazima.
Picha ni kumbukumbu nzuri Kwa familia na ndugu tangu zamani wengi tumepiga picha na wazazi wetu ikiwa ni kumbukizi na hatua zetu za ukuaji na matukio tofauti.
Mtu akiwa mtoto,akiwa anaanza shule,kupata ubatizo na kipaimara,kuhitimu masomo picha zilihusika ili kuweka kumbukumbu
Bahati nzuri Dunia ,imepiga hatua,saizi mtu yeyote anaweza kupiga picha hata tukio lisilomuhusu.nyumba,usafiri wako n.k
Siyo Hilo tu asipokemewa anaweza kukupost kwenye mitandao ya kijamii bila ridhaa yako.
Siyo ridhaa tu anaweza kupost picha ambayo siyo nzuri,na ikawafikia maelfu ya watazamaji.
Kuja kustuka picha ishasambaa na fedheha umeshapata.
Wanaume tupunguze kujipost au kuruhusu watu wetu watupost kwani mara nyingi faida ni ndogo kuliko hasara.
Mambo haya tuwaachie KE tu mwanaume kupost picha na mapozi tofauti inaleta ukakasi kidogo.
Niliowakwqza mnisamehe hatuwezi kufanana Mawazo.
Mwanaume punguza kujipostpost utaolewa shauriyakoHujasema hizo hasara nyingi kuliko faida, uzi hauna maana, Idiotic mumbo jumbo.