Picha ni kumbukumbu nzuri, lakini wanaume tupunguze kujipost mitandaoni

Mara moja moja siyo mbaya, kucheka cheka na camera kila Mara Kwa jinsia ya kiume, haijaa sawa kwakweli.
 
Jamaa amesema kila mtu na mawazo yake. Sababu yako inaweza kuwa, unajisikia furaha ukipiga picha,Mademu wakucheki,unapenda attention Kwa hiyo unaitafuta Kwa Nguvu,wewe una sura nzuri umejua unajisnap unaongeza na vikolombwezo vya camera, Ah jamaa ni pretty boy, jaman huyu kaka mzuri!!!

Hapa wahaya hutuambii kitu, wewe ni nani by the way? Ni pride tu, napenda kushiriki kwenye mitandao ya kijamii, Kama wasanii wengine napenda namm nionekane Kama wasanii na maceleb wengine nk nk nk.

Binafsi hiyo hoby sina.
 
Chukua yanayokufaa tu
 
Umeeleza vizuri sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe kila mtu ataolewa wakati wake ukifika

Hongera sana Mjuni Lwambo 🀣🀣
Hahahahaaaa, nimecheka sana.

Ila sasa nina wasiwasi, mume hajanijibu hadi saa hii, sijui kama ananipenda kweli au anataka kunichezea na kuniacha, vipi mwenzangu, umeshapata mtu anaekupenda?

Mume anataka kukuacha kwenye mataa wakati ushaambia nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie nimeshapata lakini akitokea wa ziada sio mbaya,sisi ni binadamu tunatakiwa kusaidiana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mume anataka kukuacha kwenye mataa wakati ushaambia nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie nimeshapata lakini akitokea wa ziada sio mbaya,sisi ni binadamu tunatakiwa kusaidiana πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazana tu rafiki yangu, wa ziada unaweza kumpata humuhumu.
 
Wakuu, tuji post tu. Nimejaribu , nimeona hakuna tofauti yoyote ile na usipoji post.
Kwakifupi tu, uji post au usiji post, no gains no loss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…