Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

Picha:-Ni tunda /Chakula gani cha Asili ambacho unakipenda zaidi?.Nitakuambia baadhi ya faida ya matunda hayo

FB_IMG_1740091034140.jpg
 
FB_IMG_1740090609970.jpg

Hapa nitie neno kidogo.Sijui kiswahili inaitaaje hii type ya mapishi but kisukuma huitwa shibhongote.

Shibhongote mara nyingi walikuwa wanapikiwa watoto na wazee wasikuwa na meno.

Process ilikuwa ni hivi......

Unachuma mahindi ambayo hayajakomaa sana Kisha unaponda(twanga) au kama ni muhongo unafanya vile vile.

Baada ya hapo unafunga kwenye majani ya mgomba namna hiyo kwenye picha Kisha unachemsha kwenye maji hasa ukiwa unachemsha mahindi/viazi yenyewe unaweka juu kabisa inaiva na mvuke tu.

Kwa Sasa unaweza ongeza utundu kwa kumix Aina kadhaa wa kadhaa. Chakula kizuri sana kina ladha nzuri na pendwa sana kwa watoto tumia mahindi machanga kiasi ndo matamu halafu usitwange wee tumia Brenda!!
 
Back
Top Bottom