Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkHuenda sisi tulikuwa na Jina letu
Huku niliko yanaitwa MABOBWE. Wanatumia unga wa ngano, sukari na chicha kidogo nadhani na iliki (hiliki).View attachment 3243461
Hapa nitie neno kidogo.Sijui kiswahili inaitaaje hii type ya mapishi but kisukuma huitwa shibhongote.
Shibhongote mara nyingi walikuwa wanapikiwa watoto na wazee wasikuwa na meno.
Process ilikuwa ni hivi......
Unachuma mahindi ambayo hayajakomaa sana Kisha unaponda(twanga) au kama ni muhongo unafanya vile vile.
Baada ya hapo unafunga kwenye majani ya mgomba namna hiyo kwenye picha Kisha unachemsha kwenye maji hasa ukiwa unachemsha mahindi/viazi yenyewe unaweka juu kabisa inaiva na mvuke tu.
Kwa Sasa unaweza ongeza utundu kwa kumix Aina kadhaa wa kadhaa. Chakula kizuri sana kina ladha nzuri na pendant sana kwa watoto tumia mahindi machanga kiasi ndo matamu halafu usitwange wee tumia Brenda!!
Wapi huko?Huku niliko yanaitwa MABOBWE. Wanatumia unga wa ngano, sukari na chicha kidogo nadhani na iliki (hiliki).
Papai nampenda mno, na fenesi na parachichiiiTikiti na fenesi nayapenda sana.
Faida za fenesi mwiliniPapai nampenda mno, na fenesi na parachichiii
Kiongozi litaje tafadhariTunda pekee nnalolikubali mie kusema za ukweli ni lile alokula dingi yetu Adam pale bustanini,,
Papai sio kivile japo pia nakula, parachichi nalo uhakika sana.Papai nampenda mno, na fenesi na parachichiii
Kumbe ipo hivyo? yana faida gani mwilini?Fenesi halikinai hata tikitiki vile vile
Ukila vipande 15 vya fenesi njaa inakata kabisaView attachment 3243393
Kumbe ipo hivyo? yana faida gani mwilini?
Kweli asee halafu ni barid muda woteMaembe ya morogoro matamu sana