PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].

Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.

Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.

Tuache nongwa jamani.

 

Alafu sasa kitimoto haitaki ufundi mwingi! Sijui kitungu swaumu, sijui tangawizi acha kabisa hii chakula
 
... pombe (beer) ni haramu kuliko nguruwe; elewa hilo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…