PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

kula hata mavi yako nani kakuziya kama umekubali kuabudu sanamu na kiume yesu itakuwa nguluwe
Alafu we jamaa utafika huko unapotaka kufika ukishikwa tako unashtuka na kupiga kelele.ukiingiziwa kidole si ndio JF yote itajaa wewe.
Unavopenda kushumu
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Hiyo minyoo ipo hata Kwenye nyama ya ng'ombe na mbuzi.
 
Nilikuw nawaza kumwita mwanangu Ivan anazaliw next months. Kumbe mnapenda kula nguruwe ngoja niwaze jina jingine[emoji2]
Tatizo game halina formula kuna watu wameitwa akina Moses, David, Eliya, Enock ila gambe mixer njia za vumbi huwaambii kitu.
 
Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].

Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.

Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.

Tuache nongwa jamani.

Kwani tulikutuma ukale si tumbo lako mwenyewe, wewe kula kila kitu unachoona kinakufaa hata mzoga wewe kula tu si umependa mwenyewe kwani unapokula huwa unatuomba ushauri?
 
Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].

Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.

Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.

Tuache nongwa jamani.

Mtu asikwambie kitu bwana wewe kula kama wao hawataki shauri yao wale wanachopenda wao!
 
Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].

Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.

Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.

Tuache nongwa jamani.

Mimi nimetoka kula hii KITU hata nusu saa haijapita.. ☺️☺️☺️
 
Moja ya uchafu ambao siwezi kula ni kitimoto.
Huo ni uamuzi wako. Kuna watu wanakula panya, nyoka, mende hata mjusi.
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu. Ingekuwa dini ni nzuri huko Uarabuni au kwa wazungu ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi na kwa amani.
Angalia nchi za waislamu wengi, ndiyo kwanza wanauana na kuchinjana. Mfano hai Libya, Afghanistan, Iran, Syria na Pakistan.
Dini ni michongo ya watu
 
Ipi dhambi kubwa,
Kupita barabara za vumbi au kula nyama ya nguruwe.?
Watu wa dini ya haki nawashangaa Sana. Muislam akinywa pombe Ni sawa, muislamu akiingia gesti Tena kupitia barabara za TARURA sawa tu.
Muislam akiwa na Kimada sawa, muislamu akiiba pesa za serikali Ni shujaa, muislamu akiiba kura, mjanja, muislamu akikarabati gari ya serikali ya milioni 86 kwa kutumia milioni Mia na sabini sawa.
Ila muislamu akila kitimoto au akinywa sweet wine. Ni shida++
 
KENYA, taifa Kristu, YARUHUSU USHOGA JANA......ni mwendo wa kufokoana tu!
Haujui maana ya ukristo kwa ujumla. Wapi kwenye Biblia wameruhusu ushoga? Kenya siyo nchi ya wakristo.
Usichanganye dini, ukristo na watu.
 
Back
Top Bottom