heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mwezi unakaribia supply itapunguwa, yule bana mchemmshr alafu ajikaangee mwenyewe chuja mafuta pikia dagaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uandazi na uzwazwa wewe!!! Kula kitu roho yako inataka.Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].
Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.
Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.
Tuache nongwa jamani.
Hapana sijawahi sikiaUshawai kusikia watu walifunikwa na kifusi mgodini wakala mwili wa marehemu na kushushia mkojo wao
Harufu yake tu kwanza nikiihisi utadhani mkojo! PtuuuuUnajishaua tu..😂😂😂
Chakula cha waisiharumu icho ni kama ngono tu ni vitu pendwa kwa waisiharamu ...k8ngine kinacho pendwa na waisiharamu wote ni unafikiNimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].
Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.
Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.
Tuache nongwa jamani.
[emoji1787][emoji1787] chakula pendwa cha shehe Mbowe icho ...mwenyewe anasema baada ya icho kinachofuatia ni kulamba asali ya mama samia na baada ya asali kinyaji chake pendwa anashushia mzinga wa gogo ya konyagiHAhahahaha kumbe shehe mahamudu na wewe unatumia hii kitu hata ostadhi shabani nae anakulaga bhna ila kimyakimya hata mimi pia natumia huyu mdudu shehe wangu
Mbona majina mawili umeya sahauNOAH
MBUZI KATOLIKI
KITIMOTO
MDUDU
MEZA KUBWA
NGURUWE
SWINE
Ulidanganywa, hakuna kitu kama hichoToka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Harufu ya bandani labda, ikikaangwa inanukia vizuri kuliko cakeHarufu yake tu kwanza nikiihisi utadhani mkojo! Ptuuuu
Watumiaji mniwie radhi kama nitakuwa nimewaudhi ila daaah mna moyo....nguruwe???!!
mmmmh hapana aiseeHarufu ya bandani labda, ikikaangwa inanukia vizuri kuliko cake
kama imefika wakati unaomba ushauri wa kuacha kula aina flani ya nyama (Kitimoto) huku una uhuru wa kula nyama zingine halali; Inaonekana huna uwezo wowote wa kujisimamia (Self-Discipline) kitu ambacho ni weakness kubwa sana kwani huna msimamo wowote; upo upo tu bora liende......Nimesemwa sana na familia, nimesemwa sana na mke wangu, Msikitini wananisema sana na kunitenga kisa tu mimi mtafunaji mzuri sana wa nyama ya nguruwe [Kitimoto].
Kitimoto ni nyama tamu na pendwa sana duniani kote. Ikiwa kavu ni tamu sana, ikiwa choma ndo kabisa, na ikiwa rosti kwa ugali ni mubashara kabisa ukiwa na beer mbili tatu pembeni.
Si mimi tu, wapo pia wenzangu kibao wanatafuna vyema sana hii kitu. Fresh kabisa.
Tuache nongwa jamani.
Kama wewe umejaaliwa uwezo wa kutohukumu nakupa hongera sana na mshukuru Mungu. Kuna wenzako wanahukumu balaaWewe ni muongo, nia yako ni kusifia kitimoto na pengine kuudhi baadhi ya waislam.
Hakuna msikiti wowote unaoweza kukutenga sababu ya unachokula unless uende ukalie hapo msikitini, napo pia hutotengwa zaidi ya kufukuzwa kwa wakati huo tu.
Waislam hatuna itikadi ya kuhukumu mtu sababu ya maisha anayoishi na ndio maana hata siku moja hutosikia maiti ya muislam kutoswalia ama kuzikwa sababu marehemu hakuwa akihudhuria msikitini. Hukumu tunamuachia Mungu.
Kuna uwezekano wa kusifiia ukipendacho bila kukarahisha wengine.
Mbuzi wa Vatican sio[emoji28]Mbuzi wa Vatican ukishamuonja ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukishaila utaendelea tu kuila (in Mwl. Nyerere's voice) [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2526210