PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

Mbona konokono watamu sana ukinyw supu yake na chapati utafurahi. .
Ndio namshangaa mdau.... Mimi nyama nayoweza kuiacha ni ya Kunguru. Yale makitu nyama yake ina sumu ya hatari. Kuna mlafi mmoja aliponea ICU mamamamae zake...
 
Kunguru ana supu nyeusi ile nyama ni BAD JUJU😂😂 kuna siku nilikuta mwamba Kampasua utumbo wa njano
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Umewahi kukutana na mtu ana kifafa cha minyoo ya nguruwe in your life time toka umeanza kuona watu wanakula mdudu? Unamjua hata mtu mmoja kwenye life circle yako anayekula kitimoto na kapata kifafa? Tuanzie hapo………😅
 
Kunguru ana supu nyeusi ile nyama ni BAD JUJU😂😂 kuna siku nilikuta mwamba Kampasua utumbo wa njano
Zile takataka zinakula vitu vya ajabu . Huyo shujaa kama alimla afu hakukimbizwa hospitali... Kaa mbali naye huyo... Lazima atakuwa anakula nyama za watu. Cheki kama hachezi mbali na makaburi afu uniambie
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Vipi mpaka sasa, umeshamuona mtu aliyepata kifafa kwa hiyo minyoo?
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Uarabuni kuna lundo la watu wenye vifafa

Wao wamechagua sababu nyingine, wamedai hao watu wametupia majini
 
Kitu Cha haji
IMG-20230212-WA0000.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanasema huyu mdudu akihalalishwa kutatokea vita ya tatu ya dunia kwa utamu wake acheni tu iwe hivi...
 
Back
Top Bottom