PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

Mtume SAW yeye mwenyew alikula ndio maana akaihalalisha ktk quran mtu ukishikwa na njaa kula ngurue...
Wewe waambie wakuonyeshe aya ktk quran inayokata ngurue asiliwe wakikuonyesha niite mbwa
 
Allah knows what's best for you because he created you. Hasara zitokanazo na kitimoto ni nyingi kuliko utamu unaoupata
 
Mtume SAW yeye mwenyew alikula ndio maana akaihalalisha ktk quran mtu ukishikwa na njaa kula ngurue...
Wewe waambie wakuonyeshe aya ktk quran inayokata ngurue asiliwe wakikuonyesha niite mbwa
Pork prohibited in Suratul Baqara Verse 173; Suratul Al Maida Verse 3; Suratul Al Anman Verse 145, and Suratul An Nahl 16:115
 
Mtume SAW yeye mwenyew alikula ndio maana akaihalalisha ktk quran mtu ukishikwa na njaa kula ngurue...
Wewe waambie wakuonyeshe aya ktk quran inayokata ngurue asiliwe wakikuonyesha niite mbwa
Nguruwe ameharamishwa kwenye uislam na uikristo pia. Ikitokea umekosa chakula yani umezunguka kote umekosa hata ndege wa kumla na kuna nguruwe pembeni basi unaweza mla
 
alhamdulillah asante umekiri quran imeruhusu ngurue aliwe... Takbir
 
Back
Top Bottom