Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki?
Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii?
Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji asubuhi sana.
Wakati Wachina wanajenga Ma-fly over na madaraja ya glass sisi Naibu Waziri anajitokeza kushangilia daraja kama hili?
========================================================
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amepongeza utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Manispaa ya Iringa kwa kukamilisha ujenzi wa daraja muhimu katika Kata ya Kitwiru.
Wananchi wamesema daraja hilo limekuwa mkombozi, likirahisisha usafiri hasa wakati wa mvua, ambapo awali watoto na watu wazima walishindwa kuvuka, wakikosa huduma muhimu na wanafunzi kushindwa kwenda shule.
Naibu Waziri amepongeza zaidi kwamba vifaa vya ujenzi, kama mchanga na kokoto, vimenunuliwa kutoka kwa wanufaika wa TASAF, waliovihifadhi kupitia vikundi vyao kama njia ya kujipatia kipato.
Source: EFM Tanzania