Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Wabongo bana,sijui huyu mungu tulimkosea nini? tumejaliwa kuwa na Celebrity wa kwanza bongo toka mungu aiumbe dunia tunapagawa- Diamond super star wetu,mswahili mwenzetu kakutana na Zari akili kubwa wanapasua anga sisi kelele tupu,mara Ivan kakasirika,mara bibi T hamtaki Zari- kwanini tusitulie tukajiuliza kwanini Zari is toying with us,anatupelekesha kama morons-alaafu yeye na D,wanakaa pembeni na kucheka- Lazima wabongo tuamke ktk hizi social website-we are taken for a ride too easily-inasikitisha
 
Sijui point yako ni nini?! Nilichojaribu kukuonesha ni kuwa nyumba Tz ni bei ghali kuliko SA. Mimi ukiniambia nichague nitachukua ya SA. Tz market is unrealistic, no value for money.

Btw bei za nyumba zimeshuka sana,kuna watu waligoma kuuza nyumba masaki $4m sasa hivi wametaka $2m hamna mnunuzi!
Point ni kwamba, ingawaje hiyo ya Masaki ni 4 Villa with 4 bedrooms each lakini bado bei yake ipo chini ukilinganisha na hiyo ya Westcliff! Sasa kama ndivyo, bei yake ingekuwaje kama ingekuwa Westcliff?!

Hapo juu, Miss Natafuta anadai hiyo nyumba imenunuliwa Moreleta Park!! Sasa nikichukua reference ya nyumba ya kawaida tu huko Moreleta Park, naona kwa exchange rate ya leo inasimama karibu TZS 370 Million!!
SA2.png
 
View attachment 405581
sio mimi nimedai mume wake ivan ndo kakashifu kwamba nyumba gani wanaringia nyumba ya moleta park? kwaiyo nyumba ipo moleta huko
 
Point ni kwamba, ingawaje hiyo ya Masaki ni 4 Villa with 4 bedrooms each lakini bado bei yake ipo chini ukilinganisha na hiyo ya Westcliff! Sasa kama ndivyo, bei yake ingekuwaje kama ingekuwa Westcliff?!

Hapo juu, Miss Natafuta anadai hiyo nyumba imenunuliwa Moreleta Park!! Sasa nikichukua reference ya nyumba ya kawaida tu huko Moreleta Park, naona kwa exchange rate ya leo inasimama karibu TZS 370 Million!!
View attachment 405581
I'm lost. Sasa ndugu yangu tzs 370m si nyumba mbovu kinondoni au kijitonyama?!!! Kuna nyumba kibao huku kinondoni tzs 150-400! Apartment za NHC kinondoni hananasif zipo hadi tzs 270m. Hebu uliza bei ya nyumba nzuri K'nyama usikie.
 
Angejenga appartments Dar au Dodoma ningemwelewa. Pesa zinaishaga.
Ajipange !!
 
Wabongo bana,sijui huyu mungu tulimkosea nini? tumejaliwa kuwa na Celebrity wa kwanza bongo toka mungu aiumbe dunia tunapagawa- Diamond super star wetu,mswahili mwenzetu kakutana na Zari akili kubwa wanapasua anga sisi kelele tupu,mara Ivan kakasirika,mara bibi T hamtaki Zari- kwanini tusitulie tukajiuliza kwanini Zari is toying with us,anatupelekesha kama morons-alaafu yeye na D,wanakaa pembeni na kucheka- Lazima wabongo tuamke ktk hizi social website-we are taken for a ride too easily-inasikitisha
The problem Watanzania hatujawahi kupata cha kujivunia maskini na ndio maana, juzi tumekung'utwa na tetemeko kule Bukoba, media za nje zikaripoti tukio; watu wakaja na nyuzi hapa (showing excitement) kuonesha media za nje zinazungumzia TZ! Yaani tunatajwa na media za nje labda mwaka mara moja!!!
 
Point ni kwamba, ingawaje hiyo ya Masaki ni 4 Villa with 4 bedrooms each lakini bado bei yake ipo chini ukilinganisha na hiyo ya Westcliff! Sasa kama ndivyo, bei yake ingekuwaje kama ingekuwa Westcliff?!

Hapo juu, Miss Natafuta anadai hiyo nyumba imenunuliwa Moreleta Park!! Sasa nikichukua reference ya nyumba ya kawaida tu huko Moreleta Park, naona kwa exchange rate ya leo inasimama karibu TZS 370 Million!!
View attachment 405581
Nyumba kama hii inayojitegemea yenye na swimming pool milion 370? Zile za Mchechu za maghorofani Hananasif milioni 200! Sijui zimeshuka? Nimedandia gari kwa mbele sielewi mlikoanzia wala msingi wa mabishano ila nimeshangaa bei ya hiyo nyumba. bei ni ndogo ukilinganisha na kwetu hata ingekuwa Kimara. Ujenge nyumba kama hiyo na fence, swimming pool na land scape nzuri bado uuze upate faida kwa milioni 370 ni ndoto ya mchana. Wenzetu wako mbali kwenye kufanya upatikanaji wa nyumba kuwa nafuu. Ifike mahali serikali ya Tanzania ikubali kuondoa VAT kwenye vifaa vya ujenzi kama wenzetu waliosogea.
 
nyumba iko sauzi mtaa gani na hati ni ya nani? kama kweli amenunUa bora angewajengea watoto yatima hapa bongo waishi au talent center btw muda wote zari alikuwa anaishi kwenye nyumba ya kupanga au kwa baba watoto wake ivan....kichwa kinauma
Heeeee! Hahaha jamani! His money his choice, we si una zako? Kawajengee hao watoto yatima. Ni lini wabongo tutakuwa wastaarabu kwenye maamuzi ya wengine hasa ambao tayari wako in 18+!? SMH!
 
Back
Top Bottom