Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Cheers too waheshimiwa!![emoji23][emoji23]

kiki lakin ya vihereni imeishia wapi??.
Sasa mmemjeukia IVAN? Sory for him...hakuna mtoto ama watoto watakaokubali baba yao adhalilishwe ktk media hivi...nyumba hata kama ya kupanga si nyumba au??
Mnyosho.png
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Hao wazazi nao kwa nini hawawapi watoto wao hivyo vitu wanavyopewa na wake au wachumba zao?
 
Wanaume mtakoma virungu vya safari hii. Sio iphone 7 na magari tena. Ni mwendo wa ghorofaaa
 
1474625007824.png


Naseeb umeona kiki ya vihereni haijatosha basi ukaamua uende kwa IVAN sasa....umefanya jambo la ajabu sana, unafikiri kumkejel baba wa watoto wa salome wako ndio uanaume??
Na nikueleze tu watoto nafikir walikua wakikuheshimu lakin naona sasa hivi.hio heshima haitakuepo kabisa na nasikia watoto wamemaind sana..kiukwel hakuna mtoto atakaekubal baba yake adhalilishwe katika media kisa nyumba. Nyumba hata kama ya kupanga lakin si nyumba?? Watoto wameridhika na baba yao na wanampenda baba yao hata kama kawaweka kwenye nyumba ya kupanga...hela si zipo au and he is taking care of them??

And guess what bwana naseeb, salome saivi anahaha kumuomba msamaha ivan kwa ujinga uliofanya wewe...na kwa hili nimejua zari ni bonge la mwanamke koz kiukwel hakuna mwanamke ambae mliseparate kistaarabu na mkapata watoto na still watoto anawajali atakaekubal uongee shombo kwa baba watoto wake!!

Nachomshaur ivan akae kimya hivo hivo.

Naona pesa zinaanza kuwapa watu vichaa sasa. Naseeb huo sio uanaume brother. Umechemka. Hata kama ni "kiki" sio ya staili hio.
Rubish!.
 
Bongo watu wengi wana vipaji vingi, Domo kuna vitu karithi bongo movie, kuna chembe chembe fulani kachukua kutoka kwa Madame kikongwe trust me.
 
tukisema diamond anajiaribia carrier yake ya muziki kwa kutafuta mabeef yeye na bibi yake zari tunaonekana haters
sasa hivi tuzo ataishia tu kuwa nominated basi
hajui kujiheshimu wanawake wengine balaa tupu .toka awe na zari ni kuongeza tu mabeef
 
Bongo watu wengi wana vipaji vingi, Domo kuna vitu karithi bongo movie, kuna chembe chembe fulani kachukua kutoka kwa Madame kikongwe trust me.
Ndugu umeona eeeh.! siku si nyingi utaambiwa ameiuza tena..! ndo utajua kuwa wasanii wa bongo wana vipaji vingi..!
 
Back
Top Bottom