Maisha ya kwenye mitandao yanakupelekesha sanaKwaio kaona kiki ya kupost hereni haijawa na nguvu sana, ya wema nayo wameona kawaida, sasa anaenda mbal zaid kwa ivan...hahahaha ...guess what salome wake she is begging ivan right now.
Hahaha una hasira, Are you related to Ivan or something! Btw ninini kinakufanya uamini kuwa hiyo sms ni ya zari kwa ivan?View attachment 405551
Naseeb umeona kiki ya vihereni haijatosha basi ukaamua uende kwa IVAN sasa....umefanya jambo la ajabu sana, unafikiri kumkejel baba wa watoto wa salome wako ndio uanaume??
Na nikueleze tu watoto nafikir walikua wakikuheshimu lakin naona sasa hivi.hio heshima haitakuepo kabisa na nasikia watoto wamemaind sana..kiukwel hakuna mtoto atakaekubal baba yake adhalilishwe katika media kisa nyumba. Nyumba hata kama ya kupanga lakin si nyumba?? Watoto wameridhika na baba yao na wanampenda baba yao hata kama kawaweka kwenye nyumba ya kupanga...hela si zipo au and he is taking care of them??
And guess what bwana naseeb, salome saivi anahaha kumuomba msamaha ivan kwa ujinga uliofanya wewe...na kwa hili nimejua zari ni bonge la mwanamke koz kiukwel hakuna mwanamke ambae mliseparate kistaarabu na mkapata watoto na still watoto anawajali atakaekubal uongee shombo kwa baba watoto wake!!
Nachomshaur ivan akae kimya hivo hivo.
Naona pesa zinaanza kuwapa watu vichaa sasa. Naseeb huo sio uanaume brother. Umechemka. Hata kama ni "kiki" sio ya staili hio.
Rubish!.
Kwanini tusianze kupeana mimi na wewe!?sijui kama nilishawai kumpa mtu like humu
Ana sound kama Muke ya muzungu I can bet on thatHahaha una hasira, Are you related to Ivan or something! Btw ninini kinakufanya uamini kuwa hiyo sms ni ya zari kwa ivan?
Aweke ya babaake yy alimlea wakat wa utoto na alipokua anamuhitaji??..mkishindwa kumshusha Diamond msimtafutie visababu visivyokua na maana..lea watoto wako wakupende mbeleni..telekeza na ww utelekezwe mbele!Halafu watu wanasifia humu atupie pch ya nyumba anayoishi baba yake au ndokalumanzila wale wadunia wamemwambia ampotezee mdingi ili mambo yaendelee kuwa mswano
Hahaha ngoja akukute!Ana sound kama Muke ya muzungu I can bet on that
Nanda na bibi yako mkajenge manyie kama ni cheapBei ya nyumba Afrika Kusini ni ndogo kuliko Tanzania. Nyumba nzuri ambazo zinauzwa ziko nyingi sana kuliko Tanzania
Alivyomtelekeza alifikiri nn..acha aisome namba!nipaniki kitu gani sasa we huonagi kwenye magazeti mdingi anaomba hela ya matibabu hapati
I meant mtalaka sio wa jf ukimsoma IG ni same bla bla sijui Diamond alimfanya nini huyu dada!!Hahaha ngoja akukute!
Sasa kwani hiyo Moreleta ina hadhi sawa na ile tuliyokuwa tunajadili awali? Nimekuwekea hiyo picha kukuonesha bei kwa maeneo ambayo sio teule kama ilivyo kwa Westcliff manake hiyo Moreleta nayo sio kwamba ni sehemu teule... ni eneo la kawaida tu!!But all in all, labda tukubaliane kutokukubaliana manake hatuwezi kuwa na conclusion hapa! Tukubaliane kutokubaliana kwamba, kwangu mimi bado naamini nyumba yenye sifa ile ile ikawa kwenye location inayofanana kwa hadhi... yaani mathalani ushuani ya Dar es salaam na ushuani ya Johannesburg au Cape Town! I still believe kwamba zile za SA zitakuwa more expensive kulinganisha na Dar es salaam! Lakini si mbaya pia ukipitia price per square meter kwa miji mbalimbali duniani including Dar es salaam! Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya The Global Property Guide!I'm lost. Sasa ndugu yangu tzs 370m si nyumba mbovu kinondoni au kijitonyama?!!! Kuna nyumba kibao huku kinondoni tzs 150-400! Apartment za NHC kinondoni hananasif zipo hadi tzs 270m. Hebu uliza bei ya nyumba nzuri K'nyama usikie.
Hata mi huwa nashangaa, mi siwezi tumia negative energy against someone's life kiasi hicho, I better invest them for future use. Hahaha binadamu tunatofautiana sana!I meant mtalaka sio wa jf ukimsoma IG ni same bla bla sijui Diamond alimfanya nini huyu dada!!
Tulipoanzia ni hapa:Nyumba kama hii inayojitegemea yenye na swimming pool milion 370? Zile za Mchechu za maghorofani Hananasif milioni 200! Sijui zimeshuka? Nimedandia gari kwa mbele sielewi mlikoanzia wala msingi wa mabishano ila nimeshangaa bei ya hiyo nyumba. bei ni ndogo ukilinganisha na kwetu hata ingekuwa Kimara. Ujenge nyumba kama hiyo na fence, swimming pool na land scape nzuri bado uuze upate faida kwa milioni 370 ni ndoto ya mchana. Wenzetu wako mbali kwenye kufanya upatikanaji wa nyumba kuwa nafuu. Ifike mahali serikali ya Tanzania ikubali kuondoa VAT kwenye vifaa vya ujenzi kama wenzetu waliosogea.
Conclusion yako sio sahihi hata kidogo manake umeacha kuzingatia vigezo vingi! Kwa mfano, there's no way nyumba yenye sifa zile zile; iliyopo Masaki Dar es salaam itakuwa very expensive kuliko iliyopo Westcliff, Johannesburg; sio kweli!!
Leo ndo nimeamini Zari sio boss lady wala nini,kumbe anaishi kutegemea mwanaume,yaani unajua kabisa mwanaume anaingiza wanawake kwenye bedroom yenu na anawalala kwenye kitanda anachokulala wewe ,ila umo tu,hahahahahah maboss lady wa ukweli angeondoka on spot,ila kwa vile anamtegemea diamond financially ndo hivyo anaishia kuwafokea michepuko tu ,kumbe hata nyumba South alikuwa hana,maisha ya social media ni tofauti kabisa na maisha real
Sasa unadhani ningekuwa sahihi kumtaja Ivan?!! Kumbe unapenda umbeya huku unaogopwa kusutwa enh... manake ulivyoruka!!!!!sio mimi nimedai mume wake ivan ndo kakashifu kwamba nyumba gani wanaringia nyumba ya moleta park? kwaiyo nyumba ipo moleta huko
Moreleta si ni suburb kabisa,nyumba ya kawaidaSasa kwani hiyo Moreleta ina hadhi sawa na ile tuliyokuwa tunajadili awali? Nimekuwekea hiyo picha kukuonesha bei kwa maeneo ambayo sio teule kama ilivyo kwa Westcliff! But all in all, labda tukubaliane kutokukubaliana manake hatuwezi kuwa na conclusion hapa! Tukubaliane kutokubaliana kwamba, kwangu mimi bado naamini nyumba yenye sifa ile ile ikawa kwenye location inayofanana kwa hadhi... yaani mathalani ushuani ya Dar es salaam na ushuani ya Johannesburg au Cape Town! I still believe kwamba zile za SA zitakuwa very expensive kulinganisha na Dar es salaam! Lakini si mbaya pia ukipitia price per square meter kwa miji mbalimbali duniani including Dar es salaam! Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya The Global Property Guide!
Habari ndo hiyoNa maoni ya kwenye social media ni tofauti kabisa na maisha real.
Mnh! We mtoto naona leo umepotea njia... si bure!!Hahaha una hasira, Are you related to Ivan or something! Btw ninini kinakufanya uamini kuwa hiyo sms ni ya zari kwa ivan?
sijui kama nilishawai kumpa mtu like humu