Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
mzazi nae alikua/ni mcumba/mpenzi wa mtu......heshima yake kama mzazi na kumjali iko pale lakini hii ya sasa ni FAMILIA YANGU MIMI....YAANI MIMI MWENYEWE!!!
 
Leo ndo nimeamini Zari sio boss lady wala nini,kumbe anaishi kutegemea mwanaume,yaani unajua kabisa mwanaume anaingiza wanawake kwenye bedroom yenu na anawalala kwenye kitanda anachokulala wewe ,ila umo tu,hahahahahah maboss lady wa ukweli angeondoka on spot,ila kwa vile anamtegemea diamond financially ndo hivyo anaishia kuwafokea michepuko tu ,kumbe hata nyumba South alikuwa hana,maisha ya social media ni tofauti kabisa na maisha real
hata wewe hapo maisha yako ya social media ni tofauti na real life..!
 
Naona diamond wenu kapata pesa kawa kichaa sasa. Awe anafikiria kabla ya kupost. Ona sasa salome wake anavoomba misamaha ya kufa mtu. Na mimi naomba ivan awe gentleman hivo hivo akae kimya asijibu chochote wala.asimjibu huyo nasibu.
yaan diamond wetu sijui hajazizoea bado!!! acha akabisa teh teh
 
Bahati mbaya sana sina mashauzi in real life or social media...
Mbwembwe zote zile za ubosslady kumbe hata chumba kimoja Kwa Zulu natal hawana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nacheka kwa dharau!

Asante mondi kutufumbua macho!

Zari kumbe ndo maana kakomaa na Dai na kabeba mimba fastaaa

Kumbe anasecure future!!

Hatareee!!
 
Shost mi hadi nataka kuzirai si kwa mshangao huu[emoji15] [emoji15] [emoji23] ...Bosslady my foot, Ivan kamuumbua, sorry sorry kibao kwa Ivan?!?!...akitimuliwa anaenda kwenye nyumba ya kupanga sijui moleta park, ushenzini tu ka tandale kwa domo!
 
kumbe ni mchunaji tu ndo maana hatoki kwa chibu na uzee wote ule aende wapi?
nilikuwa najiuliza kwanini kamuacha mume tajiri kumbe bwana hana hata korido yule ahahaa kweli maisha ya mitandaoni tofauti.unaweza kukukufuru mungu ukiangalia watu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa tofauti kati yake na wema ni IPI?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show off nyingiii....

Hata diamond atacheza kwa akili!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!ndo maana huddah kamuita broke cougar

Kwa dai anakomaa anajua nyumba zipo Madale na kungineko

Hivi nan angekubali azae tena watoto wa ziada wakati unao wa3 tena wakubwa tu!!

Mpk msamba uliziba wa watoto wa mwanzo!??

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] t
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa tofauti kati yake na wema ni IPI?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Show off nyingiii....

Hata diamond atacheza kwa akili!
Mwenzangu???...
Fake house
Fake bosslady
Fake age
Fake business
Fake lips
Karma comes back...mxiuuuuuuu
 
Mwenzangu???...
Fake house
Fake bosslady
Fake age
Fake business
Fake lips
Karma comes back...mxiuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli Karma ipo!!!
 
Back
Top Bottom